Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Uzi tayariEbwanaaa kuna folen balaaaaa. Nimekaa kwenye folen kwa masaa 4. nipo maeneo ua mbezi mwisho. Nilikua na safari ya Arusha usiku huu sasa inabidi nilale tuu Nikimbizane na tochi asubuhi.
Sijui shida ipo wapi
Uzi tayari
Sio mtikiti maji....mpera mpera mzeee
Sio mtikiti maji....
Ss km unaenda Arusha kwanini usitumie Bagamoyo Road?..
Ebwanaaa kuna folen balaaaaa. Nimekaa kwenye folen kwa masaa 4. nipo maeneo ya mbezi mwisho. Nilikua na safari ya Arusha usiku huu sasa inabidi nilale tuu Nikimbizane na tochi asubuhi.
Sijui shida ipo wapi
Nipo hapa Mbezi mwisho kwa zaidi ya 3hrs, askari wamelala hakuna gari inayosogea. Nina stress balaa, dadeqSs km unaenda Arusha kwanini usitumie Bagamoyo Road?..