Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
yes, kama pale mbezi mwisho njia ya kwenda goba pangekuwa na roundabout kusingekuwa na haja ya traffic kukaa pale kusimamisha magari kwa mda mrefu.Tanzania and particularly Dar haina magari ya kuweza kusababisha foleni for 4 hours.Shida kubwa IPO kwenye miundombinu tuliyonayo inayosababishwa na ukilaza wa madesigner wetu.Hawataki kujishughulisha Wala kutumia akili