feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Naam kama ilivyokua utaratibu wa hii njia kila siku foleni kutokana na ubovu na ufinyu wa njia lakini leo nimeinyooshea mikono juu.
Saa 10:31 jioni ya leo nikiwa kwenye pikipiki na ndugu yangu pale kokoto nakutana na basi la superfeo linaloenda songea ambao hutoka stendi ya rangi 3 saa 10:00 jioni. Basi tukaliacha pale limekwama kwenye foleni mimi na ndugu yangu tumefika mzinga tukanunua mahitaji ili tukapike gheto. Tumefika gheto saa 11:17 jioni tumepika tumekula tumezungumza sasa tukapata simu tunahitajika Kongowe mwisho.
Nikaona tutembee maana si mbali ebwana enhee saa 1:48 usiku huu basi ile bado haijavuka kongowe ndo kwanza ipo bakwata. Nimewaza sana jinsi serikali hii isi yoithamini njia ya kusini na watu wake na sijui lini watasikiliza vilio vya watu yaan kipande cha kutembea dk 10 mtu anamaliza masaa 4 kweli na hajavuka si aibu hii. Miaka na miaka shida ile ile na serikali ipo inakusanya kodi na tozo🚮.