Pale panaitwa Kokoto.Ule mlima wa kutoka Kongowe kuja Rangi 3. Maroli mengi yanakwama wakati wa kupanda na njia ni 1. Watu wa gari ndogo bora upite diversion kuliko kukaa nyuma ya roli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale panaitwa Kokoto.Ule mlima wa kutoka Kongowe kuja Rangi 3. Maroli mengi yanakwama wakati wa kupanda na njia ni 1. Watu wa gari ndogo bora upite diversion kuliko kukaa nyuma ya roli
Sehemu mbaya sana ile. Hiyo njia ina mashimo na mawimbi sanaPale panaitwa Kokoto.