😁😂😁 ukimpata niambie ndugu yako nikusindikize.Mimi nadhani nitaoa mngoni hawa watu wana roho nzuri kinoma wengi nilioishi nao ni super sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😂😁 ukimpata niambie ndugu yako nikusindikize.Mimi nadhani nitaoa mngoni hawa watu wana roho nzuri kinoma wengi nilioishi nao ni super sana.
Inasikitisha sana.Kusini mliwahi kutoa Rais kwa Miaka 10. Sasa mnae PM
Kuanzia Mbagala kwenda wilaya za mkoa wa Pwani mpaka mikoa ya Kusini hizo Barabara zinahitaji matengenezo ya haraka.Mbagala nadhani hadi askari wa usalama wamepasusa. Sio asubuhi sio jioni. Watu wengi, magari mengi, na biashara pembeni ya barabara ni nyingi. Ni vurugu tu
Hahaha dah sijaja muda sana huko kusema kweli.Wewe nadhani ulikua unakaa upande uliojengwa kituo cha mwendo kasi sisi kanisani ukivuka mtaa wa kina samatta kama unaelekea Natal.
Dah umeongea kwa hisia sanaNaam kama ilivyokua utaratibu wa hii njia kila siku foleni kutokana na ubovu na ufinyu wa njia lakini leo nimeinyooshea mikono juu.
Saa 10:31 jioni ya leo nikiwa kwenye pikipiki na ndugu yangu pale kokoto nakutana na basi la superfeo linaloenda songea ambao hutoka stendi ya rangi 3 saa 10:00 jioni. Basi tukaliacha pale limekwama kwenye foleni mimi na ndugu yangu tumefika mzinga tukanunua mahitaji ili tukapike gheto. Tumefika gheto saa 11:17 jioni tumepika tumekula tumezungumza sasa tukapata simu tunahitajika Kongowe mwisho.
Nikaona tutembee maana si mbali ebwana enhee saa 1:48 usiku huu basi ile bado haijavuka kongowe ndo kwanza ipo bakwata. Nimewaza sana jinsi serikali hii isi yoithamini njia ya kusini na watu wake na sijui lini watasikiliza vilio vya watu yaan kipande cha kutembea dk 10 mtu anamaliza masaa 4 kweli na hajavuka si aibu hii. Miaka na miaka shida ile ile na serikali ipo inakusanya kodi na tozo🚮.
Mkuu, Mimi nitakuunga mkono, achana na thread za humu ndani wanapondea wanawake wa kingoni. Mimi ni rafiki/jirani zangu. Ni wife material sana.Nitakujulisha mkuu ila hili sitanii niko serious.
Sasa hivi imewekwa lami vimebaki vipande vichache tu ambavyo ujenzi unaendeleaHuyo PM miezi michache iliyopita hata njia ya kwenda jimboni kwake ilikua haipitiki.
Kwani wana habari... Miaka zaidi ya 60 toka tupate uhuru, ukiambiwa hii ni barabara inayounganisha mikoa utakataa. Mikoa ya kusini kuna rasilimali nyingi ila haiwezi kufunguka wala kuvutia wawekezaji kutokana na uduni wa miundombinu. Tusubiri miujiza, maana huruma ilishakosekana.Kuanzia Mbagala kwenda wilaya za mkoa wa Pwani mpaka mikoa ya Kusini hizo Barabara zinahitaji matengenezo ya haraka.