KERO Foleni Mbagala Rangi 3-Kongowe

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Sehemu ukiizoea raha sana. Kuna watu wanaletaga threads hapa eti mikoa/maeneo ambayo hawawezi kuishi. Utasikia songea. Mimi sio mngoni ila naipenda sana songea. Haipiti miaka 3 sijakanyaga.
Pamenifundisha maisha napaheshimu sana. Yaani sana.

Nimepamiss na hakika nitaenda kukaa ata week.
 
A
Mkuu una uhakika hilo sio bus lingine maana yapo mengi. Mimi zamani na ushamba wangu nilijua daladala nyingi za mtu mmoja kisa zote zimeandikwa CITY BUS.
ata me nilizan ya cocacola nkazani wanagawa na soda .kufika bugurun nkamuuliza mzee”ntapata kaz apa azam?mzee alicheka apo tunatafuta daladala za gomz afu tuende pugu noma sana
 
kilwa road hiyo ni ngumu sana. kongowe hapo Lori likizingua kidogo ni msala
 
Mkuu una uhakika hilo sio bus lingine maana yapo mengi. Mimi zamani na ushamba wangu nilijua daladala nyingi za mtu mmoja kisa zote zimeandikwa CITY BUS.
Hapana ni lile lile tena ilikua zimeongozana na Newforce pia ya Songea na Buti la zungu la mtwara na zote nimezikuta.
 
Niliwahi kukaa hapo Kanisani, kituo kinachofuata baada ya Mzinga.

Hiyo njia siku nyingine nyeupe peee.. ila siku ikiamua, unakuta foreni inakupokea roundabout ya kwenda chamazi huku.
Isije ikawa tunafahamiana hapo kanisani ndo njia ya kwenda kwa wazee wangu
 
Yaan kipande cha kutembea dk 10 mtu anamaliza masaa 4 kweli na hajavuka si aibu hii. Miaka na miaka shida ile ile na serikali ipo inakusanya kodi na tozo🚮.
Mbagala nadhani hadi askari wa usalama wamepasusa. Sio asubuhi sio jioni. Watu wengi, magari mengi, na biashara pembeni ya barabara ni nyingi. Ni vurugu tu
 
Sehemu ukiizoea raha sana. Kuna watu wanaletaga threads hapa eti mikoa/maeneo ambayo hawawezi kuishi. Utasikia songea. Mimi sio mngoni ila naipenda sana songea. Haipiti miaka 3 sijakanyaga.
Nimetembea na kukaa mikoa Mingi ila Songea ni best kwangu kwenye maisha hasa ukiwa sio mtu wa mambo mengi.
 
Mbagala nadhani hadi askari wa usalama wamepasusa. Sio asubuhi sio jioni. Watu wengi, magari mengi, na biashara pembeni ya barabara ni nyingi. Ni vurugu tu
Halafu njia Mbovu sana kutoka hapo mpaka masasi mwezi wa 8 nilikua naenda Namtumbo na ISt hamadi tunafika sehemu inaitwa kinene kumbe imekwanguliwa na hakuna alama dah tulipiga ile gari aisee mwenye gari yake alishuka ameshika kiuno kwanza na kang'ata meno kwa uchungu.
 
Umemiss dagaa Nyasa [emoji23][emoji16]

[emoji23][emoji16][emoji16] yeah. Kumbe unapapata. Yani kukiwa na majamanda madizini muziki nausikia kwa mbaaali, mkuzo uhamiaji hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana kwa mabinti full kuwaka vumbii, yaan sherehe za songea hatariiii. Lol
 
Nimetembea na kukaa mikoa Mingi ila Songea ni best kwangu kwenye maisha hasa ukiwa sio mtu wa mambo mengi.
Mimi pia. Napapenda sana. maisha yake simple, ukijua kutafuta fursa pia zipo. Na wangoni ni wakarimu. Nawapa maua yao
 
Mimi pia. Napapenda sana. maisha yake simple, ukijua kutafuta fursa pia zipo. Na wangoni ni wakarimu. Nawapa maua yao
Mimi nadhani nitaoa mngoni hawa watu wana roho nzuri kinoma wengi nilioishi nao ni super sana.
 
Kusini mliwahi kutoa Rais kwa Miaka 10. Sasa mnae PM
 
Isije ikawa tunafahamiana hapo kanisani ndo njia ya kwenda kwa wazee wangu
Unapanda juu kama mnalani au ukifika kwenye pacha unakata kulia inayoshuka chini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…