D Developer JF-Expert Member Joined Jan 8, 2011 Posts 503 Reaction score 701 Sep 22, 2024 #61 Offshore Seamen said: Ule mlima wa kutoka Kongowe kuja Rangi 3. Maroli mengi yanakwama wakati wa kupanda na njia ni 1. Watu wa gari ndogo bora upite diversion kuliko kukaa nyuma ya roli Click to expand... Pale panaitwa Kokoto.
Offshore Seamen said: Ule mlima wa kutoka Kongowe kuja Rangi 3. Maroli mengi yanakwama wakati wa kupanda na njia ni 1. Watu wa gari ndogo bora upite diversion kuliko kukaa nyuma ya roli Click to expand... Pale panaitwa Kokoto.
Offshore Seamen JF-Expert Member Joined Mar 9, 2018 Posts 5,489 Reaction score 14,091 Sep 22, 2024 #62 Developer said: Pale panaitwa Kokoto. Click to expand... Sehemu mbaya sana ile. Hiyo njia ina mashimo na mawimbi sana
Developer said: Pale panaitwa Kokoto. Click to expand... Sehemu mbaya sana ile. Hiyo njia ina mashimo na mawimbi sana
Kressa New Member Joined Sep 18, 2024 Posts 2 Reaction score 0 Dec 19, 2024 #63 Kutoka mbeya to dar NEWFORCE ni bei gan sahii