Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hadi walau ufike mbagala mission patafunguka
Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app
Atakayefanikiwa kufaham jinsia kamili ya mdau naomba ani-tag.Juzi nilikupongeza kuandika kibabe Leo tena umerudia tena “Muniombe kwa kweli” nini hiki.
Watu wamejazana Dar hadi nguvu ya ziada inahitajika sasa. Mbagala rangi tatu si ni four lanes kama sikosei ila kero yake sasa kama njia mbili vile.Huku kwetu nilikuwa nachukua masaa ya kutosha tu barabarani ila barabara ilivyoongezwa idadi ya lanes nimesahau kabisa foleni inafananaje yaani ni kuserereka tu! Huko sasa labda mjengewe flyovers zaidi na sijui wataziweka hadi huko Rangi tatu! Barabara za Dar es salaam zimezidiwa na heavy traffic.
Huyo atakuwa ametokea Matombo hukowewe mgeni dar?
Yeah kuna zingine zitakata pale kona kuelekeka kijichi na mbagala kuu.Hapo hadi walau ufike mbagala mission patafunguka
Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app
Yes mkuu, zinakula kushoto baada ya hako kamuinuko inatoa jam...dah miss sana mitaa hiyo, struggle za maisha bana zinatupeleka mbali sanaYeah kuna zingine zitakata pale kona kuelekeka kijichi na mbagala kuu.