lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Kuna matengenezo ya barabara kupisha mwendokasi lanes zimepunguzwa ni muda tu baada ya matengenezo tutakuwa waziWatu wamejazana Dar hadi nguvu ya ziada inahitajika sasa. Mbagala rangi tatu si ni four lanes kama sikosei ila kero yake sasa kama njia mbili vile.Huku kwetu nilikuwa nachukua masaa ya kutosha tu barabarani ila barabara ilivyoongezwa idadi ya lanes nimesahau kabisa foleni inafananaje yaani ni kuserereka tu! Huko sasa labda mjengewe flyovers zaidi na sijui wataziweka hadi huko Rangi tatu! Barabara za Dar es salaam zimezidiwa na heavy traffic.