The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Hata wakijenga 10 lanes kama hakuna feeder roads nyingi ni kazi bure.Watu wamejazana Dar hadi nguvu ya ziada inahitajika sasa. Mbagala rangi tatu si ni four lanes kama sikosei ila kero yake sasa kama njia mbili vile.Huku kwetu nilikuwa nachukua masaa ya kutosha tu barabarani ila barabara ilivyoongezwa idadi ya lanes nimesahau kabisa foleni inafananaje yaani ni kuserereka tu! Huko sasa labda mjengewe flyovers zaidi na sijui wataziweka hadi huko Rangi tatu! Barabara za Dar es salaam zimezidiwa na heavy traffic.
Huu mji wala hauna watu wengi ni moundombinu mibovu na mpango miji mibovu.