The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Hata wakijenga 10 lanes kama hakuna feeder roads nyingi ni kazi bure.Watu wamejazana Dar hadi nguvu ya ziada inahitajika sasa. Mbagala rangi tatu si ni four lanes kama sikosei ila kero yake sasa kama njia mbili vile.Huku kwetu nilikuwa nachukua masaa ya kutosha tu barabarani ila barabara ilivyoongezwa idadi ya lanes nimesahau kabisa foleni inafananaje yaani ni kuserereka tu! Huko sasa labda mjengewe flyovers zaidi na sijui wataziweka hadi huko Rangi tatu! Barabara za Dar es salaam zimezidiwa na heavy traffic.
Hata nami ni siku nyingi mkuu dah! Pale Mbagala misheni ndio ilikuwa mitaa yangu kipindi naishi Dar es salaam.Yes mkuu, zinakula kushoto baada ya hako kamuinuko inatoa jam...dah miss sana mitaa hiyo, struggle za maisha bana zinatupeleka mbali sana
Sent from my SM-N910U using JamiiForums mobile app
Yeah mkuu ukishaizoea sehemu mwisho wa siku utarudi tu.
😂😂😂😂Juzi nilikupongeza kuandika kibabe Leo tena umerudia tena “Muniombe kwa kweli” nini hiki.
Watu wamejazana Dar hadi nguvu ya ziada inahitajika sasa. Mbagala rangi tatu si ni four lanes kama sikosei ila kero yake sasa kama njia mbili vile.Huku kwetu nilikuwa nachukua masaa ya kutosha tu barabarani ila barabara ilivyoongezwa idadi ya lanes nimesahau kabisa foleni inafananaje yaani ni kuserereka tu! Huko sasa labda mjengewe flyovers zaidi na sijui wataziweka hadi huko Rangi tatu! Barabara za Dar es salaam zimezidiwa na heavy traffic.
Kweli kabisa mkuu, walioplan miundombinu Dar hawakuangalia mbali sasa hivi shida tupu kila sehemu foleni hadi kero.Hata wakijemga 10 lanes kama hakuna feeder roads nyingi ni kazi bure.
Huu mji wala hauna watu wengi ni moundombinu mibovu na mpango miji mibovu.
Hiyo wanaweza ifanya kwa miji mipya kama Dom. Kwa Dar ni kama too late hivi.Hata wakijemga 10 lanes kama hakuna feeder roads nyingi ni kazi bure.
Huu mji wala hauna watu wengi ni moundombinu mibovu na mpango miji mibovu.
Dom ndio hovyo kabisa. Wale CDA hakuna kitu walichokifanya zaidi ya kuuzia watu viwanja vya sqm 400.Hiyo wanaweza ifanya kwa miji mipya kama Dom.Kwa Dar ni kama too late hivi.
Hawa watu hawachukuagi hata muda kwenda kujifunza nje mipangilio ya miji na miundombinu.Nadhani sisi bado tunaamini uzuri wa mji ni barabara ya njia ngapi sijui na skyline. Vitu kama service na feeder roads hatujavitilia maanani kabisa.Kama na Dom hawajaplan vitu vya hivi basi wanajua wanapoelekea wenyewe maana naliona ndo jiji linaloweza kupangiliwa kimuonekano ikizingatiwa bado mapema.Miji mingine mikubwa iliyotangulia ilishakubuhu!Dom ndio hovyo kabisa. Wale cda hakuna kitu walichokifanya zaidi ya kuuzia watu viwanja vya sqm 400.
Uwahi kurud kwa mumeoNimekaa kwa foleni sasa ni masaa 3 mniombee kwa kweli
Hizi foleni ni noma
Kuanzia mtongani mpaka rangi tatu masaa matatu kweli mniombee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata sijui kama mchepuko atanielewa leo.....
Mniombee wana Jf
Chanzo cha foleni huko ni ujenzi wa barabara za mwendokasi.Watu wamejazana Dar hadi nguvu ya ziada inahitajika sasa. Mbagala rangi tatu si ni four lanes kama sikosei ila kero yake sasa kama njia mbili vile.Huku kwetu nilikuwa nachukua masaa ya kutosha tu barabarani ila barabara ilivyoongezwa idadi ya lanes nimesahau kabisa foleni inafananaje yaani ni kuserereka tu! Huko sasa labda mjengewe flyovers zaidi na sijui wataziweka hadi huko Rangi tatu! Barabara za Dar es salaam zimezidiwa na heavy traffic.
Mbagala kwa walalahoi, uncouth , uncivilized popln!Nimekaa kwa foleni sasa ni masaa 3 mniombee kwa kweli
Hizi foleni ni noma
Kuanzia mtongani mpaka rangi tatu masaa matatu kweli mniombee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata sijui kama mchepuko atanielewa leo.....
Mniombee wana Jf
Sijui haya mateso mpaka lini