A
Anonymous
Guest
Takribani wiki mbili sasa malori yamekuwa yakifunga njia ya kuingia kigamboni.
Hii inaonekana taratibu za malori kuingia na kutoka bandarini hazisimamiwi ipasavyo.
Usumbufu wa watumiaji wengine wa njia umekithiri sana.
Hatuoni Jeshi la usalama barabarani likifanya kazi yake ktk hili.
Tunaomba mamlaka zione kero hii na kuifanyia kazi.