Foleni ya Tabata - Tazara imeanza kuwa tishio kwa uchumi wa nchi, nini kifanyike?

Foleni ktk eneo tajwa kwa kiasi kikubwa lina chochewa na malori mengi yatokayo na yaingiayo bandarini ....binafsi nikiona vile ni indicator ya kuwa bandari yetu ina piga kazi kwa maana wateja wana ikubali

Lkn pia solution ni ujenzi wa bandari ya Bagamoyo na ujenzi wa bandari kavu kule mkoa wa pwani kwa kiasi zitapunguza huu msururu wa malori...
SGR ndio mbadala wa Bagamoyo ambao tayari unatekelezwa. Lakini bado tunahitaji suluhu ya uhakika na ya kudumu kwenye eneo husika
 
Flyover ya Tazara iongezewe eneo na njia nyingine juu ya hii iliyopo fly over ingine ianzie tazara sokoni hadi Huku TOT yaani ivuke junction ya buguruni mataa pale ipite juu kwa juu
 
Njia rahisi ya kupunguza foleni kwenye majiji, ingawa itaumiza wengine, ni kuwepo na kodi au tozo ya kila mwezi kwa magari yote binafsi yasiotoa huduma kwa umma, pamoja na kuongeza tozo maeneo ya kupaki hayo magari; Mfano, kama utatumia usafiri binafsi ndani ya jiji na ukawa unatozwa shilingi milioni 1 kwa mwezi, na sehemu yoyote utakayopaki au kusimama kutozwa kodi...hapo lazima magari mengi binafsi yatabaki majumbani, na hapo utakuwa umepunguza foleni kwa asilimia kubwa...kwa sababu kwenda katika shughuli zetu tutatumia usafiri wa umma.
Wewe nafikiri haupo TZ hali ya maisha ya watz huyajui yaani mtu atozwe 1 million!!? Usafiri wa umma wa kutosha upo hapa TZ hasa Dar? Lazima kuwe na usafiri wa umma wa kutosha ndiyo uanze kufikiria kutoza parking fees kubwa kama Ulaya lasivyo yatakuwa majanga!!
 
Napendekeza wajenge flyover juu ya Tazara flyover ili zinazotokea Buguruni kwenda bandarini nazo zipite juu. Nakaribisha maoni
Kuna communication errors katika Barbara hiyo. Njia sahihi kuboresha mawasiliano ya mataa ya kuingiza magari kutoka Tabata mataa Hadi mataa ya Mfugale.

Trafiki waache mataa yawasiliane.

Shida kubwa Ni pale Trafiki wanaposimama Kama mbadala wa mataa na kushindwa kusomana katika vituo vyote vyamataa katika Barbara husika.
 
Hao matrafiki kuna wakati nilijiuliza, wanaugua utaahira?! Yaani Buguruni anaruhusu halafu wa Mfugale anastopisha, na radio calls wanazo, lakini hawana coordination kabisa
 
Ushauri mzuri
Njia rahisi ya kupunguza foleni kwenye majiji, ingawa itaumiza wengine, ni kuwepo na kodi au tozo ya kila mwezi kwa magari yote binafsi yasiotoa huduma kwa umma, pamoja na kuongeza tozo maeneo ya kupaki hayo magari; Mfano, kama utatumia usafiri binafsi ndani ya jiji na ukawa unatozwa shilingi milioni 1 kwa mwezi, na sehemu yoyote utakayopaki au kusimama kutozwa kodi...hapo lazima magari mengi binafsi yatabaki majumbani, na hapo utakuwa umepunguza foleni kwa asilimia kubwa...kwa sababu kwenda katika shughuli zetu tutatumia usafiri wa umma.
 
Magari binafsi yakipungua mjini daladala zitaongezeka, sio lazima tozo ya magari binafsi iwe milioni 1 serikali inaweza kuongeza parking fee kwa magari binafsi ikawa shilingi 10,000 kwa siku mfano.
Wewe nafikiri haupo TZ hali ya maisha ya watz huyajui yaani mtu atozwe 1 million!!? Usafiri wa umma wa kutosha upo hapa TZ hasa Dar? Lazima kuwe na usafiri wa umma wa kutosha ndiyo uanze kufikiria kutoza parking fees kubwa kama Ulaya lasivyo yatakuwa majanga!!
 
Magari binafsi yakipungua mjini daladala zitaongezeka, sio lazima tozo ya magari binafsi iwe milioni 1 serikali inaweza kuongeza parking fee kwa magari binafsi ikawa shilingi 10,000 kwa siku mfano.
Hatuwezi kupunguza kula kisa choo kimejaa, tutaita gari la kunyonya ama tutachimba shimo jipya.
 
Back
Top Bottom