Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahaha sidhani kama ni suala la tarehe Ndugu, hawa jamaa ni Wavivu Tu, trust me. Si unaona kwenye hii picha Dirisha moja halina mtoa Huduma?Tarehe hizi hujui mzee kuna nini NMB... Njoo NMB kuanzia tarehe 10 hadi 19 uenjoy chap tu..
Pamoja na tarehe, benki nyingi sana wanaboa pale mnapokuwa kwenye foleni ndefu halafu teller moja tu ina mtu, nyingine zote tupu..!! Sasa sijui wale ma-bank teller huwa wanakuwaga wapi..!!Tarehe hizi hujui mzee kuna nini NMB... Njoo NMB kuanzia tarehe 10 hadi 19 uenjoy chap tu..
Ewaaaaaa, wako hapa wanaingia na kutoka Tu mlango mmoja kwenda mwingine, nimemaliza one hour kwa foleni ya watu wasiozidi naneHapo umenena. Yaani utaona counter na dawati la maulizo kuna mtu mmoja au wawili. Wengine wako busy na shughuli zingine kabisa.
Kwanini wasiweke nguvu kwenye kuhudimia wateja au waongeze wafanyakazi maana kila siku wanajisifu wameoata faida ya mwaka ya 100%.
Nenda Mlimani City, Chuo Kikuu, Sinza, etc kwote ni sawa.
Jana pale Kibaha NMB ilibidi nitumie njia ya mkato kuhudumiwa japo haikua Sahihi. Sikua na namna vinginevyo ningekeshaCha kuudhi zaidi ni kwamba akija ndugu au rafiki wa bank teller, anaitwa straight..!! Halafu ma-branch manager wapo nao wanaziangalia tu hizo foleni..!!
Yupo mfanyakazi WA NMB kabeba documents kibao kampa huyu Single Teller azisainiJana almanusra Raia tususe.
Sio poa kabisa.
hapo hawajaja wale wa mabegi mgongoni ambao hawapangi foleni ndo utachoka mara 100 ya hapo.
Pole aisee..!! Mimi ilishawahi nikuta NBC Mbagala branch..!! Kwakweli nilishindwa kuvumilia..!! tulikuwa kweny foleni ndefu na huku kuna teller moja tu ipo kazini, nyingine zote hazina bank teller. Cha kuudhi akaja rafiki wa bank teller akamwita straight mbele yetu, wallah nilishindwa kuvumilia.. !! Nikamwambia yule bank teller kwamba anachokifanya siyo sawa..!! Tukamaindiana pale lakini mwisho bank teller wengine wakaongezeka ndo ikawa nafuu yetu..!!Jana pale Kibaha NMB ilibidi nitumie njia ya mkato kuhudumiwa japo haikua Sahihi. Sikua na namna vinginevyo ningekesha
Nchi nyingine wamepunguza kabisa matawi ya benki na wafanyakazi. Mambo karibu yote yanafanyika online. Inatakiwa benki za Tanzania ziwe na mwelekeo huu. Anyways najua pengine mazingira yetu hayaruhusu jambo kama hili kufanyika kwa sasa, ila serikali ikubali kuwa kuwa na database ya raia wote na mtandao wa interenet unaoaminika mambo mengi yanakwama.Hapo umenena. Yaani utaona counter na dawati la maulizo kuna mtu mmoja au wawili. Wengine wako busy na shughuli zingine kabisa.
Kwanini wasiweke nguvu kwenye kuhudimia wateja au waongeze wafanyakazi maana kila siku wanajisifu wameoata faida ya mwaka ya 100%.
Nenda Mlimani City, Chuo Kikuu, Sinza, etc kwote ni sawa.
Hizi banks kubwa TZ si wamejazana wahaya na wachaga tu. Watu wanakula sikukuu bwasheeeYaani kila Bank ya NMB Tanzania unayoingia kuna foleni kubwa na Wahudumu wame-relax Tu hapa.
Leo Niko hapa Mlandizi NMB, nimesimama queue zaidi ya dakika 56 sijapata Huduma bado. Kuna Binti WA kichina kacharuka hapa ndio kapewa Huduma.
Juzi nilikua Tanga, foleni kubwa mhudumu mmoja, Jana Nikawa Kibaha NMB, foleni kubwa na Huduma mbovu, Leo tena hivyo hivyo. View attachment 2857280
ABSA hayapo haya mambo, kuna zile tu za kusubilia kwenye makochi (Kisutu branch) na huku teller zote zina watu..!! Mpaka sasa, kwa benki zote nilizowahi pata huduma, ABSA hawanaga mambo ya kifala..!!Hv mnaotumia absa Kuna haya mambo ya enem biii
Aisee! Hua naenjoy sana kuhudumiwa absa napenda sana kwenda pale city mallABSA hayapo haya mambo, kuna zile tu za kusubilia kwenye makochi (Kisutu branch) na huku teller zote zina watu..!! Mpaka sasa, kwa benki zote nilizowahi pata huduma, ABSA hawanaga mambo ya kifala..!!
Sio mbaya mkihamia benki nyingine zinazojitambua kama ABSA, STanbic< Maendeleo na nyinginezo.Yaani kila Bank ya NMB Tanzania unayoingia kuna foleni kubwa na Wahudumu wame-relax Tu hapa.
Leo Niko hapa Mlandizi NMB, nimesimama queue zaidi ya dakika 56 sijapata Huduma bado. Kuna Binti WA kichina kacharuka hapa ndio kapewa Huduma.
Juzi nilikua Tanga, foleni kubwa mhudumu mmoja, Jana Nikawa Kibaha NMB, foleni kubwa na Huduma mbovu, Leo tena hivyo hivyo. View attachment 2857280
Shukrani sanaSio mbaya mkihamia benki nyingine zinazojitambua kama ABSA, STanbic< Maendeleo na nyinginezo.
Kwa leo tangu saa 2 asubuhi kulikuwa na tatizo la network NMB zote. Hii ilifanya huduma za ndani zisimame kwa muda na kurejea saa 4 asubuhi.Yaani kila Bank ya NMB Tanzania unayoingia kuna foleni kubwa na Wahudumu wame-relax Tu hapa.
Leo Niko hapa Mlandizi NMB, nimesimama queue zaidi ya dakika 56 sijapata Huduma bado. Kuna Binti WA kichina kacharuka hapa ndio kapewa Huduma.
Juzi nilikua Tanga, foleni kubwa mhudumu mmoja, Jana Nikawa Kibaha NMB, foleni kubwa na Huduma mbovu, Leo tena hivyo hivyo. View attachment 2857280
Wafanyakazi wa NMB wanamiliki NMB wakala zilizo karibu na Benk wanazofanyia kazi!! So wana slow down huduma mwenda kwenye vibanda vyao wapige faida!! This is capitalism, Nyerere alitucheleweshaYaani kila Bank ya NMB Tanzania unayoingia kuna foleni kubwa na Wahudumu wame-relax Tu hapa.