Followers wa CHADEMA kwenye x.com ni 32K pekee wakati CCM wapo 882.9K

Followers wa CHADEMA kwenye x.com ni 32K pekee wakati CCM wapo 882.9K

President of China

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
34,781
Reaction score
94,550
CHADEMA ilishajifia muda, kwa sasa inaendeshwa na mashirika ya wanaharakati. Siyo chama cha siasa tena.
Check hapa:
Wameshindwa hata ku verify account yao

1765976077514.png



1765976160785.png
 
Watu wanasita ku follow ili wasitekwe. Kama chama cha mauaji mnaamini mna wapenzi wengi wekeni uchaguzi huru tuone
 
CHADEMA ilishajifia muda, kwa sasa inaendeshwa na mashirika ya wanaharakati. Siyo chama cha siasa tena.
Check hapa:
Wameshindwa hata ku verify account yao

View attachment 3516669


View attachment 3516671
Hii ni account ya chadema2 sio ile original ambayo John Mrema alikimbia nayo CHAUMMA!! hiyo ni mpya kabisa.

Kingine kama issue ni followers lissu ana followers kariba laki 9, yaani ana followers wengi kuliko chama kizima!! Una maoni gani hapo?
 
Halafu utasikia mtu anasema Chadema walihamasisha maandamano 😂
 
CCM toka 2011 ni watu hao tu, kweli haina watu...
Chadema ni 2025 ishafikisha watu wote hao...


Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom