President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Pole sana, Chadema inakunyima sana usingizi. Damu za watu bado zinawasumbuaCHADEMA ilishajifia muda, kwa sasa inaendeshwa na mashirika ya wanaharakati. Siyo chama cha siasa tena.
Check hapa:
Wameshindwa hata ku verify account yao
View attachment 3516669
View attachment 3516671
Hii ni account ya chadema2 sio ile original ambayo John Mrema alikimbia nayo CHAUMMA!! hiyo ni mpya kabisa.CHADEMA ilishajifia muda, kwa sasa inaendeshwa na mashirika ya wanaharakati. Siyo chama cha siasa tena.
Check hapa:
Wameshindwa hata ku verify account yao
View attachment 3516669
View attachment 3516671