Mkuu mzee jomo alisema nn kuhusu odinga tufahamu na sisiNiliimba sana Raila hawezi kuwa raisi wa kenya. Kauli ya hayati mzee Jommo Hayakuuacha ukoo wa Odinga salama
anazungumza live muda huu toka westlands, ila sioni raila akiibiwa kura zaidi haamini kama bado hakubalikiHuu ushindi wa Uhuru naomba uwe wa kweli na usije kutuletea majanga na chuki, Raila amesema hayo mafomu 34a na 34b hayajaambatanishwa na matokeo yanayotangazwa, naomba IEBC wafanye scan ya hizo fomu zote na kumpa Odinga na pia kuzianika hadharani ili ushindi huu ukubalike vizuri.
Maana Raila akianza kuimba imba na kutaja wizi, wafuasi wake wanamskiliza sana na wanaweza kukinukisha.
Mkikuyu mwenzako keshashinda wewe tulia tu. Usianze kuleta mdomo mrefu.Huu ushindi wa Uhuru naomba uwe wa kweli na usije kutuletea majanga na chuki, Raila amesema hayo mafomu 34a na 34b hayajaambatanishwa na matokeo yanayotangazwa, naomba IEBC wafanye scan ya hizo fomu zote na kumpa Odinga na pia kuzianika hadharani ili ushindi huu ukubalike vizuri.
Maana Raila akianza kuimba imba na kutaja wizi, wafuasi wake wanamskiliza sana na wanaweza kukinukisha.
So Kenya has delivered a Kikuyu boy
Huu ushindi wa Uhuru naomba uwe wa kweli na usije kutuletea majanga na chuki, Raila amesema hayo mafomu 34a na 34b hayajaambatanishwa na matokeo yanayotangazwa, naomba IEBC wafanye scan ya hizo fomu zote na kumpa Odinga na pia kuzianika hadharani ili ushindi huu ukubalike vizuri.
Maana Raila akianza kuimba imba na kutaja wizi, wafuasi wake wanamskiliza sana na wanaweza kukinukisha.