zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mkuu si ndio walichokifanya IEBC ama kwamba uhakiki ulifanyika kwa form by form pale bomas kweupe kabisa !!! Ssa ina maana wafula naye hana akili amaKweli wewe una matatizo. Unajua maana ya kuhakiki form zote "Kenye live tv?" Camera itakua inalenga kila form na wahakiki ni wangapi? Kuna maana kila chama iko na agents wake kwenye Tallying centre. Na agents pia wako nyumbani na forms.
Grow up