MAKANJAMNA
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,138
- 1,514
Mizigo ya Uganda na Mazombi wapi na wapi??Nilishakuambia Kenya hakutakua na ghasia mtazisubiri sana. Uchumi wetu utaendelea tena mizigo ya Waganda itaanza kutumia SGR yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mizigo ya Uganda na Mazombi wapi na wapi??Nilishakuambia Kenya hakutakua na ghasia mtazisubiri sana. Uchumi wetu utaendelea tena mizigo ya Waganda itaanza kutumia SGR yetu
Ulikua umetulia unaanza ngenga.Huu ushindi wa Uhuru naomba uwe wa kweli na usije kutuletea majanga na chuki, Raila amesema hayo mafomu 34a na 34b hayajaambatanishwa na matokeo yanayotangazwa, naomba IEBC wafanye scan ya hizo fomu zote na kumpa Odinga na pia kuzianika hadharani ili ushindi huu ukubalike vizuri.
Maana Raila akianza kuimba imba na kutaja wizi, wafuasi wake wanamskiliza sana na wanaweza kukinukisha.
Hakuna lolote mkuu zaidi ni ubaguzi tu wakikuyu kwa wajaluo na huyo ruto anatumika tu ikifika 2022 utashangaa jubilee inamsimamisha mkikuyu tenaMkuu mzee jomo alisema nn kuhusu odinga tufahamu na sisi
DPP
No where!go where
Namba zipi mbona kivuitu alikiri odinga aliibiwa kura alipokuwa ndio mwneyekiti wa electoral commission ya kenya???? Hata huyu fomer chairman wa Iebc Alikiri 2013 kuja rafu odinga alichezewa na usishangae huyu wafula miaka kumo ijayo naye akikiri kuwa odinga alichezewa rafu tena 2017Odinga hawezi kuwa Raisi wa Kenya kwa kawaida namba huwa hazidanganyi alishashindwa kabla
Yeah ili mumuumbue Raila si muhakiki fomu zote kwenye live tv hapo bomas ili wakenya wajue nani mkweli mkificha mtampa sababu ionekane kaibiwa ukwelianazungumza live muda huu toka westlands, ila sioni raila akiibiwa kura zaidi haamini kama bado hakubaliki
Eti Joho? Sultani sasa hivi anadensi tu chekecha akifurahia ushindi wake. Fomu zote zimeanikwa wazi kwenye vituo vya kupiga kura na kwenye portal ya IEBC mtandaoni. Ukitaka zitizame wewe mwenyewe. Zimebakia fomu 1,000 kati ya jumla ya 40,800,hadi sasa hivi hawajapata dosari yeyote! Matokeo walotangaza IEBC hapo awali yako shwari kabisa. Raila, kwaheri ya kuonana!Ulikua umetulia unaanza ngenga.
Joho ameshapata fomu zote 40,000 wanaangalia tu hiyo tume itatangaza nini
Acha upotoshaji mkuu fomu iliyowekwa kwenye website ni moja tu hata mwenyekiti kasema ndio wanaziomba kutoka vituo vyote ili ziwe available kwa vyama vyote waone matokeo ssa hizo 40,800 wwe ndio umezifikisha bomas kwa gari yako ama ???Eti Joho? Sultani sasa hivi anadensi tu chekecha akifurahia ushindi wake. Fomu zote zimeanikwa wazi kwenye vituo vya kupiga kura na kwenye portal ya IEBC mtandaoni. Ukitaka zitizame wewe mwenyewe. Zimebakia fomu 1,000 kati ya jumla ya 40,800,hadi sasa hivi hawajapata dosari yeyote! Matokeo walotangaza IEBC hapo awali yako shwari kabisa. Raila, kwaheri ya kuonana!
Hiyo ndo habari Mkuu!Acha upotoshaji mkuu fomu iliyowekwa kwenye website ni moja tu hata mwenyekiti kasema ndio wanaziomba kutoka vituo vyote ili ziwe available kwa vyama vyote waone matokeo ssa hizo 40,800 wwe ndio umezifikisha bomas kwa gari yako ama ???
Mkuu mie naongelea press conference ya kwanza ya Nasa walidai kwenye system imewekwa scanned copy moja tu ya fom 34 A /B by jana asbuhi ssa nlichobisha nni??? Nasa wao walitaka original handwritten form sio scanned copy na wakishahakiki ukweli utajulikana so mpunguze ushabiki kwanza muache uhakiki umalizikezitto junior acha ubishi iebc walipeana brief asubuhi,ulikuwa wapi! Sina wakati wa kurudia yote yaliyosemwa lakini saa moja usubuhi walikuwa wamebakisha 1,600 kati ya zote 40,000+. Wanazipitia iebc pamoja na mawakala wa wagombea wote wa urais! Nilipiga kura yangu tarehe nane mimi hivyo nafatilia yote live bila mchezo! We skiza story za vijiweni tu!
Acheni ubaguzi wakikuyu hautowasaidia lolote siku yakija kuwatokea ya watutsi-hutu ndio mtanyooka 21st century mnaendekeza ukabila shame on u
MK254
Naomba msaada wako mkuu,
Kenya asilimia kubwa ya watu wake wanaongea Kiswahili na lugha za asili,na ni asilimia ndogo sana wanao jua kingereza na kiswahili,
Swali?
Kwanini viongozi wengi wa nnchi wanatumia kingereza wanapo ongea mambo ya Kitaifa mfano bunge na Tasisi za serikali kama polisi nk
Mbaya zaidi juzi wakiomba kura walitumia kiswahili,hata wale wabunge walitumia kiswahili kuombea kura
Hebu nisaidie hii inatokana na nn?
![]()
Ukweli uko wapi?
Yeah ili mumuumbue Raila si muhakiki fomu zote kwenye live tv hapo bomas ili wakenya wajue nani mkweli mkificha mtampa sababu ionekane kaibiwa ukweli