NASA walienda mahakaman kuomba kura ziendelee kuhesabiwa toka kwenye majimbo na vituoni directly ila kama utatokea ubishan ndio form zitatumika kuthibitisha.........
kumbuka utaratibu wa tume ulikua ni kutumia form na sio matokeo ya moja kwa moja bila form, ila wao NASA wakasema kutakua na wizi kwa njia hio, ndio maana wakafile kesi mahakaman na mahakama kuu ikawakubalia.......
kwaio walichofanya IEBC kilikua ni kutokana na rulling ya mahakama kwa kufuata maombi ya NASA,...... hakuna kosa limefanyika hapa ndugu ni vile tu saiz wanaona wanapigwa ndio kulalamika.....
Sent using
Jamii Forums mobile app