Fomu anazotaka Odinga kwanini musimpe?

Fomu anazotaka Odinga kwanini musimpe?

Haya mazombi yatulie kwanza na kusubiri, tayari fomu zinakusanywa na atapewa Raila na Wakenya wote, sasa yameanza kuwasha moto Kisumu, huwa yanachukiza balaa.

1613282_0.jpg

A supporter of Opposition leader Raila Odinga, burns tyres during a protest in Kisumu after their political leader claimed massive fraud in the election, August 9, 2017. /REUTERS
Huyo alitakiwa achome hio tyre kwa kagame kule,angejua vurugu maana yake ni nini!!
 
Hizo fomu za 34A's wakizipakua (Upload) Raila anashinda kuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Kenya kwa sababu Ezra Chiloba, CEO wa IEBC pia ni Afisa Usalama ndie anashirikiana na NIS wenzie kuhariri Matokeo ya Uchaguzi kisha wanatuma kwenye Kanzi Data ya IEBC ndio maana hayo Matokeo hayana Fomu 34!
 
Huu ushindi wa Uhuru naomba uwe wa kweli na usije kutuletea majanga na chuki, Raila amesema hayo mafomu 34a na 34b hayajaambatanishwa na matokeo yanayotangazwa, naomba IEBC wafanye scan ya hizo fomu zote na kumpa Odinga na pia kuzianika hadharani ili ushindi huu ukubalike vizuri.

Maana Raila akianza kuimba imba na kutaja wizi, wafuasi wake wanamskiliza sana na wanaweza kukinukisha.
MK254

Naomba msaada wako mkuu,

Kenya asilimia kubwa ya watu wake wanaongea Kiswahili na lugha za asili,na ni asilimia ndogo sana wanao jua kingereza na kiswahili,

Swali?

Kwanini viongozi wengi wa nnchi wanatumia kingereza wanapo ongea mambo ya Kitaifa mfano bunge na Tasisi za serikali kama polisi nk

Mbaya zaidi juzi wakiomba kura walitumia kiswahili,hata wale wabunge walitumia kiswahili kuombea kura

Hebu nisaidie hii inatokana na nn?
 
Majority of kenyans can understand English, so ukutumia Kingereza Kenya wakenya wengi wataelewa unachokisema. Wengi wanaskia but speaking it can be hard to a good number of Kenyans. But kuzungumza I guess every Kenyan can speak in Kiswahili. Almost every Kenyan
 
Huu ushindi wa Uhuru naomba uwe wa kweli na usije kutuletea majanga na chuki, Raila amesema hayo mafomu 34a na 34b hayajaambatanishwa na matokeo yanayotangazwa, naomba IEBC wafanye scan ya hizo fomu zote na kumpa Odinga na pia kuzianika hadharani ili ushindi huu ukubalike vizuri.

Maana Raila akianza kuimba imba na kutaja wizi, wafuasi wake wanamskiliza sana na wanaweza kukinukisha.
Hizo fomu anazodai odinga ni muhimu.na ni haki yake kupewa huwezi tangaza matokeo bila verifiable supporting documents Kama hizo fomu za matokeo zilizosainiwa na mawakala vituoni kura zilipopigwa. Fomu hizo ziwekwe hadharani za kila kituo na zilinganishwe na matokeo ya hizo mashine
 
Huu ushindi wa Uhuru naomba uwe wa kweli na usije kutuletea majanga na chuki, Raila amesema hayo mafomu 34a na 34b hayajaambatanishwa na matokeo yanayotangazwa, naomba IEBC wafanye scan ya hizo fomu zote na kumpa Odinga na pia kuzianika hadharani ili ushindi huu ukubalike vizuri.

Maana Raila akianza kuimba imba na kutaja wizi, wafuasi wake wanamskiliza sana na wanaweza kukinukisha.
Naona tangu alipotangaza kuyakataa hasa kuanzia saa sita mchana, kasi ya UHURU kumzidi imepungua sana. Kiganja cha yule jamaa kimefanya kazi nzuri
 
wampe tu sababu naona kuna majanga yanaweza yakatokea....ila odinga nimemdharau kabisa...jamaa kubali matokeo...nenda nyumbani Bondo...lea kuku na bata....you are 72 years old na bado unahangaisha hii nchi tulivu...
 
Mkuu mzee jomo alisema nn kuhusu odinga tufahamu na sisi

DPP
alisema: "Asante ya punda ni matege (akimaanisha mateke). Hii mtu (odinga) ni mbaya sana haifai kuwa kiongozi kenya".
Odinga alikuwa mwanasiasa na baba yake Raila odinga
 
Alisemaje kwani? Tupe historia
Alimwambia Mzee Odinga (baba yake ba Raila) kuwa: Asante ya punda ni matege (akimaanisha shukrani ya punda ni mateke) baada ya wao kukosana katika masuala ya kisiasa (awali walikuwa pamioja). Mzee kenyata alisisitiza kuwa Hii mutu haifai kabisa kuwa kiongozi kenya.
 
Back
Top Bottom