Fomu anazotaka Odinga kwanini musimpe?

Fomu anazotaka Odinga kwanini musimpe?

John-Allan Namu
@johnallannamu 3h
Police just cleared a roadblock mounted by protesters in Mathare .
pic.twitter.com/gjRrrkzKJP
View photo ·

mathare Nairobi kulikuwa na mtafaruku kidogo Lakini mambo yako shwari. Washapewa dawa Yao, teargas
Hope know you have proved what I told you.
 
Wakenya wamefanya jambo zuri sana kumchagua Rais Uhuru...

Maana wangemchagua yule mshikaji wa jamaa yetu... chamoto wangekiona!
Wakenya nawapa tano kabisa, wanefanya jambo jema duniani mpaka mbinguni kwa kinchagua msela wetu Uhuru atengeneze ajira hata sisi tutahania kwa jirani kusaka ajira

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wameanza kusababisha maombi yako yajibiwe yale ya kutaka kuona vurugu Kenya.
Kaa utulie, lete hapa thread au post yangu ya kutaka kuwe na machafuko huko kenya!

Kifupi tu ni kuwa hiyo kauli yako ni ya kichochezi bora tu umeisema huku kwenye mitandao ya tz!

Hayo maneno yako ukiyasema kwenye maeneo kama mathare ambako vijana nimeona wanafunga barabara itaongeza chuki!

Chunga kauli zako!
 
Nilishakuambia Kenya hakutakua na ghasia mtazisubiri sana. Uchumi wetu utaendelea tena mizigo ya Waganda itaanza kutumia SGR yetu
 
Hawata mpa hizo form, maana deviation na variance ya matokeo haya ni constant.
Mkuu uko Sawa, matokeo yamesetiwa lazima Uhuru apate 54% and above, laila 44%, waangalie trend
 
Vindu vicollapsanga! Hehe NASA waingie kwenye handaki waje na planB 2022! Uhunye ndo rais wetu kwa miaka mingine mitano.
 
Nilishakuambia Kenya hakutakua na ghasia mtazisubiri sana. Uchumi wetu utaendelea tena mizigo ya Waganda itaanza kutumia SGR yetu
Suala hapa ni moja!

Nimekuomba uthibitishe hapa kuwa naombea kenya kuwe na fujo kwa kuleta thread au comment yangu inayooonyesha hivyo!

Maana naona unaanza kutapa tapa kwa kinga ya uchumi wenu which is non of my concern!
 
Hope know you have proved what I told you.
nelson omukuba follows
Radio Citizen
@RadioCitizenFM 30m
Two shot dead after attempting to attack police officers with pangas in Mathare slums, Nairobi Police Commander Japheth Koome says.
pic.twitter.com/jsXNfV7k8B
View photo ·

Wanaume wawili wameangushwa na polisi Sasa hivi mathare Nairobi
 
Wanaume wawili wameangushwa na polisi mathare Nairobi
 
Hawajatoa hizo form bado? Basi more less kachakachuliwa mtu hapo.
 
Ule wadhifa wake wa PM hauna mafao baada ya kustaafu?
alishaondoka muda mrefu.takriban miaka mitano sasa imepita.hivyo sidhani kuna faida atakazopata zaidi ya alizokuwa akifaidi tangia wakati huo..katiba ya sasa haina wadhifa wa prime minister.Raila hakuwa na wadhifa wowote zaidi ya mwanzilishi wa chama cha ODM ambacho ndicho chama pinzani..
 
Historia ya Odinga kufanya uchochezi na kujipenda mbele ya maslahi ya waKenya inajulikana sana. Huyu mtu ndiye aliwasha moto mkali wa 2007.
malalamiko kila kukicha hata Obama alishawahi kumkashifu sana pamoja na wenzake..
 
Tume bado ni dhaifu ina mikono za Serikali maana haiwezekani Mtu kuingia (kulog in) kwenye akaunti ya Chris Msando ambaye alifariki hii inasadifu ambavyo Tume haiko huru!!
Ki theoretic ipo uhuru ila ki practical haipo uhuru kabisa.

Tuache kujidanganya na since alivyosikia jamaa anataka kuwa Magufuli wa Kenya. Akaona mali zao zipo hatarini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom