jamani nina wasiwasi na hilo tangazo liloletwa hap jf kuhusu kibarua cha sensa hasa ukizingatia kama limetegenezwa tu na mtu akalituma kwa njia ya pdf. Hivi uliona wapi tangazo la selikari halina nembo ya taifa i mean ngao ya bibi na bwana??? Tangazo tena muhimu la sensa halijaanisha limetuma na chombo gani husika cha selikari! Nina dout huu unaweza ukawa uhuni au mtu amelichukua sehemu na kulikocopy kabla halijakamilika na kulileta hapa jf. Nawaomba mlichunguze wana jf kwa makini na hizo fomu zenyewe ziko vague. Hapa tusije tukawa tunatapeliwa kiaina. Nawasilisha
Jamani mim ndiyo nimetoka huko kilichopo ni kwamba hawana taarifa na hizo fomu ila nimekuta wanapoke barua,hata hivyo wamepokea hizo fimu zangu.Kuhusu malipo sijajua ila nimedodosa kwa jamaa mmoja hapo kaniambia anacho jua nimalipo ya wakufunzi ambayo tayari wao wako kwenye semina ,wanakula kama 800,000.Ila mbona hiz kazi zilitoka kimyakimya kwan watu wa bacheror hawafai kuwa wakufunzi.Ila wadau tuombe hivyo hivyo hizi kazi za malipo madogo kwani ndizo zilizo bakiwe jamaa chukua kwanza hizzo fomu zilizokuwa attached then ujaze kwanza
Jamani mim ndiyo nimetoka huko kilichopo ni kwamba hawana taarifa na hizo fomu ila nimekuta wanapoke barua,hata hivyo wamepokea hizo fimu zangu.Kuhusu malipo sijajua ila nimedodosa kwa jamaa mmoja hapo kaniambia anacho jua nimalipo ya wakufunzi ambayo tayari wao wako kwenye semina ,wanakula kama 800,000.Ila mbona hiz kazi zilitoka kimyakimya kwan watu wa bacheror hawafai kuwa wakufunzi.Ila wadau tuombe hivyo hivyo hizi kazi za malipo madogo kwani ndizo zilizo baki
nenda wilayani au halmashauri, wenyekiti weng wa serikali za mtaa hawajui
Jamani mim ndiyo nimetoka huko kilichopo ni kwamba hawana taarifa na hizo fomu ila nimekuta wanapoke barua,hata hivyo wamepokea hizo fimu zangu.Kuhusu malipo sijajua ila nimedodosa kwa jamaa mmoja hapo kaniambia anacho jua nimalipo ya wakufunzi ambayo tayari wao wako kwenye semina ,wanakula kama 800,000.Ila mbona hiz kazi zilitoka kimyakimya kwan watu wa bacheror hawafai kuwa wakufunzi.Ila wadau tuombe hivyo hivyo hizi kazi za malipo madogo kwani ndizo zilizo baki
Kwani ofisi za mwenyekiti wa kamati ya sensa wilaya zinapatikana wapi?
Kwa sababu unaweza kuta mnapeleka mahali pasipohusika ndio sababu wanakataa kupokea.
Kuna mtu amepost humu eti DC kakataa kupokea.Ni kweli hata ningekuwa mimi ningetaa sababu ni nje ya majukumu yangu(ultra vires). Tangazo limesema mkimaliza mpeleke kwa mwnyekiti wa kamati ya sensa ya wilaya..whether naye ofisi zake ziko wilayani mi sjui ila cha msingi tujue mahali husikla la sivyo wanaweza kuwaridhisha kupokea fomu zenu na wasizifanyie kazi wakazitrash coz hawahusiki..so kuweni makini.
Jamani hili swala nikweli ache ubishi mimi nimeenda kupeleka hz fomu manispaa ya ilala kwa mratibu wa sensa na wamezipokea na NIMEZITOA HUMU HUMU KWENYE HI THREADS
Hivi ni kweli huwa hamna akili hata kidogo?
Namna hii mtaendelea kuwa mabwege katika nchi yenu wenyewe. Hivi kwa akili yako ukijumlisha na hayo maneno ya kuambiwa unaamini serikali inaweza kukulipa Tshs 800,000 kwa kazi ya kuhesabu watu kwa wiki 1?
Sijui ni umri au ni akili za shule za kata!
Makarani 265,600 wakalipwe 800,000 kila mmoja kweli?
Enyi majuha mnaoulizia mishahara
SaSA MBONA UNAITA WENZAKO MAJUHA? PILI HAKUSEMA KWA WIKI ALISEMA KWA UJUMLA NDO WATAPEWA HIYO PESA
TATU HUSISEME KAMWE HAUTAPANGWA MTAAN KWAKO, MBONA VIJANA WA VITAMBULISHO WAPO MTAAN KWE2 NA WANAKAA MAENEO HAYA? MWISHO CHANGAMOTO NI JAMBO LA KAWAIDA NA ELF 10 SI HABA..PUNGUZA UKALI WA MANENO NA KUJIFANYA UNAJUA KILA KITU.