Fomu kwa wale wambao wanataka ukarani kwenye sensa ikiwemo waliomaliza chuo lakini hawana ajira

Fomu kwa wale wambao wanataka ukarani kwenye sensa ikiwemo waliomaliza chuo lakini hawana ajira

Da!!!!!!!! nashukuru sana wanajf maana mmenifumbua macho ila mim nimezijaza hizi fomu ngoja niende wiliani sasa hivi arafu nitarudisha jibu kwenu
 
hawa watendaj hawana hata redio achilia mbal tv au n urasimu tu unawasumbua
 
Wakubwa ni kweli kuhusu hilo tangazo hakuna uwongo wöwote, fom na maelekezo yote yapo kwenye website ya Nbs ila oi uozo mtupu mimi nishajaza mpaka kwa mtendaji wa kata na amesaini kunithibitisha issue ilipoanzia kuwa tata ni kwa mwenyekiti wilaya ya kinondoni ambapo ndipo 2lipopeleka kusubmit maombi hayo, tuliyoyakuta huko ni uozo mtupu, kwanza wanadai hawapokei 4m, na hali website inasema wao ndo watakaokusanya 4m, yaani sababu wanazotoa mpaka hazieleweki, ni uchuro mtupu nimechoka ngoja nirudi kwenye pango langu.
 
jamani nina wasiwasi na hilo tangazo liloletwa hap jf kuhusu kibarua cha sensa hasa ukizingatia kama limetegenezwa tu na mtu akalituma kwa njia ya pdf. Hivi uliona wapi tangazo la selikari halina nembo ya taifa i mean ngao ya bibi na bwana??? Tangazo tena muhimu la sensa halijaanisha limetuma na chombo gani husika cha selikari! Nina dout huu unaweza ukawa uhuni au mtu amelichukua sehemu na kulikocopy kabla halijakamilika na kulileta hapa jf. Nawaomba mlichunguze wana jf kwa makini na hizo fomu zenyewe ziko vague. Hapa tusije tukawa tunatapeliwa kiaina. Nawasilisha

cloud fm 88.4 kila siku asubuhi ktk power breakfast.......
 
tangazo ni zuri sana kwa 7bu linagusa maisha yetu mojakwa moja ila 2peane uhakika wa mambo ili 2siingize kwenye garama zisizo za msingi. asanteni
 
we jamaa chukua kwanza hizzo fomu zilizokuwa attached then ujaze kwanza
Jamani mim ndiyo nimetoka huko kilichopo ni kwamba hawana taarifa na hizo fomu ila nimekuta wanapoke barua,hata hivyo wamepokea hizo fimu zangu.Kuhusu malipo sijajua ila nimedodosa kwa jamaa mmoja hapo kaniambia anacho jua nimalipo ya wakufunzi ambayo tayari wao wako kwenye semina ,wanakula kama 800,000.Ila mbona hiz kazi zilitoka kimyakimya kwan watu wa bacheror hawafai kuwa wakufunzi.Ila wadau tuombe hivyo hivyo hizi kazi za malipo madogo kwani ndizo zilizo baki
 
Jamani fomu hazitolewi ila unaandika kwa mkono na kuiacha kwa afisa mtendaji wa kata yako baada ya kupitisha ofisi ya serikali ya mtaa. Iyo taarifa nimepata wilayani, nenda ktk ofisi za wilaya yako.
 
Hizi ajira mboona tutapigana vikumbo? walimu walivyowengi mpaka waishe ndo tuje tufikiriwe na form six leavers. Au kila mtu atakuwa anamhesabu mwenziye!
 
Ritired, ebu nambie jinsi ya kuandika i.e niandike vipi ili niipitishe kwa mtendaji then niipeleke wilayan? Adres etc
 
Jamani mim ndiyo nimetoka huko kilichopo ni kwamba hawana taarifa na hizo fomu ila nimekuta wanapoke barua,hata hivyo wamepokea hizo fimu zangu.Kuhusu malipo sijajua ila nimedodosa kwa jamaa mmoja hapo kaniambia anacho jua nimalipo ya wakufunzi ambayo tayari wao wako kwenye semina ,wanakula kama 800,000.Ila mbona hiz kazi zilitoka kimyakimya kwan watu wa bacheror hawafai kuwa wakufunzi.Ila wadau tuombe hivyo hivyo hizi kazi za malipo madogo kwani ndizo zilizo baki

Hivi ni kweli huwa hamna akili hata kidogo?

Namna hii mtaendelea kuwa mabwege katika nchi yenu wenyewe. Hivi kwa akili yako ukijumlisha na hayo maneno ya kuambiwa unaamini serikali inaweza kukulipa Tshs 800,000 kwa kazi ya kuhesabu watu kwa wiki 1?

Sijui ni umri au ni akili za shule za kata!

Makarani 265,600 wakalipwe 800,000 kila mmoja kweli?

Enyi majuha mnaoulizia mishahara kabla ya kuulizia ugumu wa kazi, nisikieni mimi niliyehesabu sensa 2002 na ninayeshiriki zoezi la vitambulisho vya Taifa:

-Zoezi la Sensa litachukua siku 7 za kuhesabu watu mitaani, nyumba kwa nyumba.
-Kutakuwa na siku 3 za semina
-Utalipwa Tshs 10,000 kwa siku na kamwe hautapangiwa kuhesabu watu mtaani kwako.
-Utakumbana na changamoto za Sheikh Ponda na wafuasi wake na maswali ya kejeli kutoka kwa Watanzania Halisi ambao hata jambo lielezwaje bado wana maswali ambayo hata ukipanua mdomo kuwajibu hawana muda wa kusikiliza majibu yako.

Kwa hiyo mwisho wa zoezi hili itakuwa umejikusanyia;
Tshs 100,000. (7 X 10,000) + (3 X 10,000)
Nundu za mwili na roho kutoka kwa Ponda and Family
Na kejeli toka kwa watu wasiopenda kurespond positively kwa issues za serikali
 
Kwani ofisi za mwenyekiti wa kamati ya sensa wilaya zinapatikana wapi?
Kwa sababu unaweza kuta mnapeleka mahali pasipohusika ndio sababu wanakataa kupokea.

Kuna mtu amepost humu eti DC kakataa kupokea.Ni kweli hata ningekuwa mimi ningetaa sababu ni nje ya majukumu yangu(ultra vires). Tangazo limesema mkimaliza mpeleke kwa mwnyekiti wa kamati ya sensa ya wilaya..whether naye ofisi zake ziko wilayani mi sjui ila cha msingi tujue mahali husikla la sivyo wanaweza kuwaridhisha kupokea fomu zenu na wasizifanyie kazi wakazitrash coz hawahusiki..so kuweni makini.
 
nenda wilayani au halmashauri, wenyekiti weng wa serikali za mtaa hawajui

Tangazo hili limeruka hewani this week ikabidi dependents wetu tuwape deal la kufuatilia, si wamefika ofisi za jiji la mwanza hata taarifa hawana ila asante kwa kuleta fomu
 
Jamani mim ndiyo nimetoka huko kilichopo ni kwamba hawana taarifa na hizo fomu ila nimekuta wanapoke barua,hata hivyo wamepokea hizo fimu zangu.Kuhusu malipo sijajua ila nimedodosa kwa jamaa mmoja hapo kaniambia anacho jua nimalipo ya wakufunzi ambayo tayari wao wako kwenye semina ,wanakula kama 800,000.Ila mbona hiz kazi zilitoka kimyakimya kwan watu wa bacheror hawafai kuwa wakufunzi.Ila wadau tuombe hivyo hivyo hizi kazi za malipo madogo kwani ndizo zilizo baki

Tatizo la serikali yetu haifanyi kazi kwa kushirikiana, tangazo limetoka hewani ajabu kwenye ofisi za halmashauri hawana habari
 
Jamani hili swala nikweli ache ubishi mimi nimeenda kupeleka hz fomu manispaa ya ilala kwa mratibu wa sensa na wamezipokea na NIMEZITOA HUMU HUMU KWENYE HI THREADS
 
Kwani ofisi za mwenyekiti wa kamati ya sensa wilaya zinapatikana wapi?
Kwa sababu unaweza kuta mnapeleka mahali pasipohusika ndio sababu wanakataa kupokea.

Kuna mtu amepost humu eti DC kakataa kupokea.Ni kweli hata ningekuwa mimi ningetaa sababu ni nje ya majukumu yangu(ultra vires). Tangazo limesema mkimaliza mpeleke kwa mwnyekiti wa kamati ya sensa ya wilaya..whether naye ofisi zake ziko wilayani mi sjui ila cha msingi tujue mahali husikla la sivyo wanaweza kuwaridhisha kupokea fomu zenu na wasizifanyie kazi wakazitrash coz hawahusiki..so kuweni makini.

soma uelewe, kwenye form kuna sehem kwa wasio na ajira inatakiwa ijazwe na mtendaji, sasa huyo mtendaj ndo hataki anadai mpaka apewe taarifa rasmi, nasi matangazo.
 
Jamani hili swala nikweli ache ubishi mimi nimeenda kupeleka hz fomu manispaa ya ilala kwa mratibu wa sensa na wamezipokea na NIMEZITOA HUMU HUMU KWENYE HI THREADS

wabishi naona wameamua kukubal ndo mana hawajarud tena. But ndugu tatizo ni sisi wa manispaa ya kinondoni, wahusika wetu bado wanalega.
 
Hivi ni kweli huwa hamna akili hata kidogo?

Namna hii mtaendelea kuwa mabwege katika nchi yenu wenyewe. Hivi kwa akili yako ukijumlisha na hayo maneno ya kuambiwa unaamini serikali inaweza kukulipa Tshs 800,000 kwa kazi ya kuhesabu watu kwa wiki 1?

Sijui ni umri au ni akili za shule za kata!

Makarani 265,600 wakalipwe 800,000 kila mmoja kweli?

Enyi majuha mnaoulizia mishahara

SaSA MBONA UNAITA WENZAKO MAJUHA? PILI HAKUSEMA KWA WIKI ALISEMA KWA UJUMLA NDO WATAPEWA HIYO PESA
TATU HUSISEME KAMWE HAUTAPANGWA MTAAN KWAKO, MBONA VIJANA WA VITAMBULISHO WAPO MTAAN KWE2 NA WANAKAA MAENEO HAYA? MWISHO CHANGAMOTO NI JAMBO LA KAWAIDA NA ELF 10 SI HABA..PUNGUZA UKALI WA MANENO NA KUJIFANYA UNAJUA KILA KITU.
 
Wakuu hili tangazo ni la kweli na hizi form nimezi down load na kuzipeleka manispaa ya moshi na wamepokea.Halafu nimekutana na raia kibao pale manispaa wanachukua form ila nilivyozicheki zile form walizochukua pale manispaa ni sawa na zangu.
 
Hapo kuna form usijaze mpaka pale utakapo chaguliwa na kamati ya sensa, halafu hizo form peleken kwa afisa mtendaji wa kata ndiyo wanashughulikiahayo mambo siyo kwa mkuu wa wilaya
 
Back
Top Bottom