Fomu za kugombea uchaguzi serikali za mitaa kuanza kutolewa tarehe 29/10/2019 hadi 04/11/2019 wapinzani zingatieni

Fomu za kugombea uchaguzi serikali za mitaa kuanza kutolewa tarehe 29/10/2019 hadi 04/11/2019 wapinzani zingatieni

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Serikali imetoa ratiba ya utoaji na urejeshwaji wa fomu kwa wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

Zoezi hilo litafanyika kuanzia tarehe 29/10/2019 hadi 04/11/2019 wagombea wote mnatakiwa kuzingatia muda.

Source Star tv!
 
Back
Top Bottom