J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Oct 27, 2019 #1 Serikali imetoa ratiba ya utoaji na urejeshwaji wa fomu kwa wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Zoezi hilo litafanyika kuanzia tarehe 29/10/2019 hadi 04/11/2019 wagombea wote mnatakiwa kuzingatia muda. Source Star tv!
Serikali imetoa ratiba ya utoaji na urejeshwaji wa fomu kwa wagombea wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Zoezi hilo litafanyika kuanzia tarehe 29/10/2019 hadi 04/11/2019 wagombea wote mnatakiwa kuzingatia muda. Source Star tv!
Mapambano Yetu JF-Expert Member Joined Aug 14, 2012 Posts 1,133 Reaction score 2,128 Oct 27, 2019 #2 Wakienda siku ya mwisho nitawashangaa sana.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Oct 27, 2019 Thread starter #3 Mapambano Yetu said: Wakienda siku ya mwisho nitawashangaa sana. Click to expand... Ndio maana nimewapa tahadhari mkuu. Maendeleo hayana vyama!
Mapambano Yetu said: Wakienda siku ya mwisho nitawashangaa sana. Click to expand... Ndio maana nimewapa tahadhari mkuu. Maendeleo hayana vyama!