Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Organization having political or administrative power and control...Authority = the power or right to give orders, make decisions, and enforce obedience.
Vp kwa wasiofahamu vema lugha ya kiingereza? Watakuelewa kweli mkuu? Mimi mwenyewe bado sijakuelewa mpaka sasa...Mamlaka: inakuwa na Jukumu la Enforcement towards accomplishment
Idara: Inakuwa na Jukumu la Facilitation towards primary objective
Taasisi: inakuwa na Jukumu la Enforcement towards obligations
Mamlaka: inakuwa na Jukumu la Enforcement towards accomplishment
Idara: Inakuwa na Jukumu la Facilitation towards primary objective
Taasisi: inakuwa na Jukumu la Enforcement towards obligations
Tume: Mara nyingi huwa utendaji wake ni wa Muda Maalum
Mkuu, mbona kama vile ulikuwa ndani ya kichwa changu? I was about to challenge him with the very same question.Kwa mfano
Tume ya vyuo vikuu, Tume ya Ukimwi, Tume ya mionzi zina muda upi maalum???
I agreeRais Magufuli anafanya kazi kubwa sana mzalendo huyu.
Mkuu, Really???Mamlaka-hawa huwa wanauwezo wa kuingiza pesa na kuzitumia bila kupangiwa
kupitia maoni ya wadau nimejifunza mengiNasubiri majibu mazuri na mimi pia
Mimi bado sijapata majibu ya kuridhisha mkuu.kupitia maoni ya wadau nimejifunza mengi
Mkuu, Really???
Sawa mkuu...Nadhani ametumia mfano wa mamlaka za maji safi na mazingira/maji taka( Mfano wa DAWASCO,DUWASA,MUWASA etc) ambazo ziko chini ya wizara ya Maji ila ni almost autonomous chini ya bodi zake zinaamua mapato yao na matumizi yao
Okay...Ila pia kuna mamlaka ambazo haziingizi pesa na zinaendeshwa kwa mfuko mkuu wa hazina. Sijajua hapo ikoje