Food For Thought: Kuna tofauti gani kati ya Mamlaka, Tume pamoja na Bodi?

Hehe nitakupa majibu siku nikipata nafasi
 
Mkuu, Really???
Hii nami naafiki, moja ya tofauti za idara na mamlaka ni kwenye kukusanya fedha na kuzitumia. Wakati Idara haiwezi kutumia pesa ilizokusanya (inazipeleka hazina zote) mamlaka wameruhusiwa kutumia asilimia fulani ya fedha wanazokysanya. Ndiyo maana kuna kipindi miaka ya nyuma mamlaka ya uhifadhi Ngorongoro (NCA) walikuwa wako vizuri na mishahara yao hata kuzidi Idara ya wanyama pori...
 
Hizo ni codes,ila dot ni moja.
 
Mamlaka: inakuwa na Jukumu la Enforcement towards accomplishment
Idara: Inakuwa na Jukumu la Facilitation towards primary objective
Taasisi: inakuwa na Jukumu la Enforcement towards obligations
Tume: Mara nyingi huwa utendaji wake ni wa Muda Maalum
Nice nimeelewaa
 
MAMLAKA ni msimamizi wa sheria fulani (law enforcer), BODI ni kundi la watendaji wa kazi fulani TUME hawa sioni tofauti yao na BODI labda kimfumo wa maamuzi.

Nmejaribu wakuu ila iyo ya juu na uhakika 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…