Foolish age. One among punk movies I was eager to see, And I got bored after seeing it

Foolish age. One among punk movies I was eager to see, And I got bored after seeing it

Filamu za kibongo bwana..yaani mtazamaji unaona aibu kama wewe ndio unaigiza..
 
Bongo bado sana C and P nying sana, Waandaa script shule Zero.....
Lulu bado sana ila tayari sana kwa Kuto..mb..eka
 
Tanzania kwa movie bado sanaa,hata hiyo GOING BONGO haijatengenezwa na watanzania ni ya mbele imeigiziwa America na Tz na kuna wabongo wamehusika kuigiza
 
Elizabeth Michael aka Lulu ndio tunae mzungumzia hapa. Ndio mwenye hilo igizo la "Foolish Age" na ndio aliemuua Steven Kamumba aka "The Great Kanumba".

kanumba hakuwai kuwa the Great.....the Great hawezi kuangushwa na Lulu.
 
Tanzania kwa movie bado sanaa,hata hiyo GOING BONGO haijatengenezwa na watanzania ni ya mbele imeigiziwa America na Tz na kuna wabongo wamehusika kuigiza

Nahisi hata hyo ya boss wako anayo act na Wema inayompa dvj Penny kichaa itakua hivyo hivyo
tuhabarishe yaitwa je movie yao??
 
Bongo bado sana C and P nying sana, Waandaa script shule Zero.....
Lulu bado sana ila tayari sana kwa Kuto..mb..eka

Me nasubiri kitu cha Adam juma,baada ya kuleta mapinduzi ya music video
kaingia kutengeneza movie.
hii hapa inaitwa
PROTOCOL (Agent Of Death) hii ni movie mpya ya kibongo inayotarajiwa kutoka siku za usoni kidogo, ukizungumzia mabadiliko yanayokuja katika Bongo Movie hii basi itakuwa moja kati ya bonge moja la movie kuanzia watu waliocheza ndani ya movie hii pamoja na editing zilizofanyika mpaka kuwa yenye ubora wakutizamwa na watu tofauti tofauti.
 
Attachments

  • tmp_IMG-20131005-WA002096003160.jpg
    tmp_IMG-20131005-WA002096003160.jpg
    25.6 KB · Views: 315
  • tmp_PicsArt_1380987730710124234616.jpg
    tmp_PicsArt_1380987730710124234616.jpg
    32.3 KB · Views: 293
Me nasubiri kitu cha Adam juma,baada ya kuleta mapinduzi ya music video
kaingia kutengeneza movie.
hii hapa inaitwa
PROTOCOL (Agent Of Death) hii ni movie mpya ya kibongo inayotarajiwa kutoka siku za usoni kidogo, ukizungumzia mabadiliko yanayokuja katika Bongo Movie hii basi itakuwa moja kati ya bonge moja la movie kuanzia watu waliocheza ndani ya movie hii pamoja na editing zilizofanyika mpaka kuwa yenye ubora wakutizamwa na watu tofauti tofauti.
huyo jamaa wa kushoto mbongo?
mwonekano tu wa cover wa ukweli
 
Mkuu mimi sio mpenzi wa bongo movie. Sijawahi nunua wala kuangalia mwanzo mwisho. Mimi napenda cd za wakina kinyambe mtanga erick majuto mzee masele chapombe jangala kidogo na wengine wengi wanao fanana na hao.Hao bongo movie kila saa kulia lia hata sehemu isiyotakiwa kulia halafu wanaongea kwa sauti utafikiri wanahubiri.Bongo movie wanachojua ni kuhamasisha ngono. Mia

haaaaaaaa kuhamasisha ngono... hapana... sema kuhamasisha ngono zembe!
 
Hahahahaha!! umeua!

Hii ndio tabia ya kujiona wewe star, basi pia unajiona waweza fanya kila kitu peke yako.
Ku-Make Movie si mchezo mdogo MTAZAMO...
Wenzetu Mambele, Movie mpaka ikamilike huweza huchukua hata mwaka, sie mwezi tu ipo sokoni.
 
Last edited by a moderator:
Nimeshaiona mdogo wangu minofu.
Imeozaje!
Hapana, kama una kipaji cha maigizo, igiza...ila angalia movie zenye mpangilio.
Ila kwa Foolish Age...katokosa balaa.

sasa kwa jinsi hii anauzia akina nani hizi movie?

mi nina mpango wa kuibukia hollywood one day!
 
kanumba hakuwai kuwa the Great.....the Great hawezi kuangushwa na Lulu.

hivi kweli hapa alimaanisha nini kujiita the great?

na ray nae kuonesha kuwa yuko juu akajiita the greatest..! wabongo bwana!
 
Filamu za kibongo bwana..yaani mtazamaji unaona aibu kama wewe ndio unaigiza..

hahaaaaa!!! mi huwa napelekaga mbele weee ili angalau nione patamu, kumbe hamna kitu!!

my last week was horrible by watching the so called foolish age, nilijihisi mi labda ndio niko kwenye foolish age!
 
Back
Top Bottom