Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Elizabeth Michael aka Lulu ndio tunae mzungumzia hapa. Ndio mwenye hilo igizo la "Foolish Age" na ndio aliemuua Steven Kamumba aka "The Great Kanumba".
Wapi figganigga useme "mia" au Washawasha useme "Nalogoff"??
Yaani mimi siipendi hyo muvi acha kabisa.
Ni mbaya, mbaya, mbaya sana.
Elizabeth Michael aka Lulu ndio tunae mzungumzia hapa. Ndio mwenye hilo igizo la "Foolish Age" na ndio aliemuua Steven Kamumba aka "The Great Kanumba".
Tanzania kwa movie bado sanaa,hata hiyo GOING BONGO haijatengenezwa na watanzania ni ya mbele imeigiziwa America na Tz na kuna wabongo wamehusika kuigiza
Bongo bado sana C and P nying sana, Waandaa script shule Zero.....
Lulu bado sana ila tayari sana kwa Kuto..mb..eka
Hahahahaha!! umeua!
huyo jamaa wa kushoto mbongo?Me nasubiri kitu cha Adam juma,baada ya kuleta mapinduzi ya music video
kaingia kutengeneza movie.
hii hapa inaitwa
PROTOCOL (Agent Of Death) hii ni movie mpya ya kibongo inayotarajiwa kutoka siku za usoni kidogo, ukizungumzia mabadiliko yanayokuja katika Bongo Movie hii basi itakuwa moja kati ya bonge moja la movie kuanzia watu waliocheza ndani ya movie hii pamoja na editing zilizofanyika mpaka kuwa yenye ubora wakutizamwa na watu tofauti tofauti.
Mkuu mimi sio mpenzi wa bongo movie. Sijawahi nunua wala kuangalia mwanzo mwisho. Mimi napenda cd za wakina kinyambe mtanga erick majuto mzee masele chapombe jangala kidogo na wengine wengi wanao fanana na hao.Hao bongo movie kila saa kulia lia hata sehemu isiyotakiwa kulia halafu wanaongea kwa sauti utafikiri wanahubiri.Bongo movie wanachojua ni kuhamasisha ngono. Mia
Hahahahaha!! umeua!
duu madam taratbu basi,yadi adi misuli inakutoka kwa hasira!
huyo jamaa wa kushoto mbongo?
mwonekano tu wa cover wa ukweli
kanumba hakuwai kuwa the Great.....the Great hawezi kuangushwa na Lulu.
Filamu za kibongo bwana..yaani mtazamaji unaona aibu kama wewe ndio unaigiza..
sasa kwa jinsi hii anauzia akina nani hizi movie?
mi nina mpango wa kuibukia hollywood one day!
Nalog offElizabeth Michael aka Lulu ndio tunae mzungumzia hapa. Ndio mwenye hilo igizo la "Foolish Age" na ndio aliemuua Steven Kamumba aka "The Great Kanumba".
Wapi figganigga useme "mia" au Washawasha useme "Nalogoff"??