MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943
Bingwa wa shirikisho hupata 2 million USD, ila cha kushangaza gharama za motivation, bahasha na nguvu kubwa aliyoitumia Bwn Kanji ili tu kuiprove wrong Young africans inafikia zaidi ya 5 million USD. Tetesi kutoka vyanzo vya kuaminika vinadai Bwana Kanji ameapa kurejesha pesa zake kwa namna yoyote baada ya kutumia nguvu kubwa na kuangukia pua! Tutarajie baadhi ya wachezaji kuuzwa na uendeshaji wa club kulega lega.
TUTAKUWEPO.
TUTAKUWEPO.