Football Club Investments ni sehemu sahihi ya uwekezaji?

Football Club Investments ni sehemu sahihi ya uwekezaji?

ndemeyejr

Member
Joined
Oct 31, 2016
Posts
18
Reaction score
14
Habari, nimeona taarifa nyingi sana na watu kujiunga katika uwekezaji wa kampuni inayoitwa F.I.C football Club Investments.

Je, ni sehemu sahihi au ndo Kalynda mpya na Mr. Kuku Tena!

Screenshot_20241020-102132.jpg
 
Habari, nimeona taarifa nyingi sana na watu kujiunga katika uwekezaji wa kampuni inayoitwa F.I.C football Club Investments.

Je, ni sehemu sahihi au ndo Kalynda mpya na Mr. Kuku Tena!
Hivi hawa wapo tangu lini
 
Proceed with extreme caution. Tukumbushane yaliyowakuta walio-invest DECI. Nao walikuja na gia hizi hizi, wakasema wamesajiriwa, na wakafanya publicity stunts nyingi tu ili kuwakamata watu wengi haraka haraka. Cha kujiuliza kuhusu hawa FIC Football Investment, je iwapo wanahusika na Investment, wamesajiriwa CMSA (Capital Markets And Securities Authority (CMSA)? Iwapo ni wahusika wa michezo ya kubashiri je wamesajiriwa GBT (Gaming Board of Tanzania)? Ila hata logically, are you ready to invest kwenye project ambayo iko based on kukisia. Si heri uende kununua hisa DSA (Dar es Salaam Stock Exchange) kama una appetite ya risky ventures? Hawa jamaa so far nimeona wamejitambulisha kuwa wamesajiriwa Brela tu, sasa hata hiyo is very basic, nadhani hata baadhi yetu hapa tayari tuna business ventures tumesajiri uko pia. Let's proceed with caution. Tukumbushane pia yaliyotutokea hivi karibuni from Bwana Maguruwe a.k.a bwana vanilla village.
 
Ndiyo tunapaswa kuelimisha jamii hasa kwa mambo yafuatayo

1. Je unawezaje kujua hii ni kampuni salama ya uwekezaji??

2. Inakuwawaje kampuni inasajiliwa na Inafanya kazi kwa kulipa Kodi kwa maana ya kutambulika na TRA na pia imesajiliwa na BRELA,

Wao hutumia kigezo Gani ili kusajili haya makumpuni na kutoa leseni.?

3. Je mamlaka husika zilizotoa kibali kwa kampuni kuendesha shughuli zake Huwa zinachukua hatua Gani kampuni yeyote Ile ya uwekezaji ikiondoka na Pesa za watanzania.?
 
Manguruwe yanaenda kupigwa tena kisha yarudi hapa kulia.

Hii nchi ina watu wajinga sijawahi kuona.
Sasa watu wataishi vp bila kuwaibia wengine, Mm naona sawa tuu.
N sawa tuu na yule kiboko wa wachawi aliyewanyoosha watz, mm nampongeza sana mana angeishi vp bila kutapeli watu 😂
 
Back
Top Bottom