Football ya Afrika ya Mashariki

Football ya Afrika ya Mashariki

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Nimeangalia michezo ya AFCON ilyochezwa na nchi za Afrika ya mashariki za Kenya, Tanzania, Uganda na Burundi, halafu nikaongezea na DRC ambayo bado haijaingia EAC. Vile vile nimeangalia michezo yote ya 2019 Women FIFA World Cup iliyochezwa na nchi zote zilizoshiriki. Huenda maono yangu siyo sahihi ila ni wazi kuwa timu za wanawake za USA, France, Sweden, Spain na Netherlands zinacheza mpira mzuri na wa uhakika sana kuliko nchi hizo za Afrika ya Mashariki na Kati nilizotaja hapo juu. Tofauti inatoka wapi ? Timu hizo za wanawke zikiwekwa ligi moja na timu za Taifa za Afrika ya Mashariki na ya kati, utashangaa wakati wa Quarter Final kutakuwa na timu hizo za wanawake tu.
 
Uganda wapo vixuri sana tna sana bhasi tu Sometimes foitball is cruel na vilevile you must create your own luck.
Kenya pia sio mbaya na possible hta wakapita,tz asee hmmm,
Hivi najiuliza wachezaji wanajiskiaje wanaingia uwanjani kupambana huku mashabiki wao wengi wanasapot team pinzani, stupid politics asee..
 
Niemangalia michezo hiyo aisee; ingawa Uganda imeshinda na vile vile Kenya inaweza kuendelea; ukiwapambanisha na wanawake niliotaja hapo juu, wote Kenya na Uganda watatupwa nje raundi ya kwanza tu.
 
Hakuna Mwanamke anaweza pambana na mwanaume kimpira.Ubavu wa mwanaume ni wa mwanaume tu.Hao wanawake wako hata wakicheza na daraja la kwanza la Tanzania wanaweza wasitoboe.
 
Tema mate kusudi mpira wetu uendelee chini ndugu yangu; mpira siyo ubabe, bali ni ufundi. Tukitegemea ubabe wa kiume tutapata ticket nyekundu na hivyo kuzidi kuelemewa. Tukicheza kiufundi watatufunga kwa sababu wanatuzidi.
 
Ndo maana wanawake wakawa wanacheza wao kwa wao.Mwanamke hana uwezo wa kucheza na mwanaume labda kitandani tu.
 
Nimeangalia michezo ya AFCON ilyochezwa na nchi za Afrika ya mashariki za Kenya, Tanzania, Uganda na Burundi, halafu nikaongezea na DRC ambayo bado haijaingia EAC. Vile vile nimeangalia michezo yote ya 2019 Women FIFA World Cup iliyochezwa na nchi zote zilizoshiriki. Huenda maono yangu siyo sahihi ila ni wazi kuwa timu za wanawake za USA, France, Sweden, Spain na Netherlands zinacheza mpira mzuri na wa uhakika sana kuliko nchi hizo za Afrika ya Mashariki na Kati nilizotaja hapo juu. Tofauti inatoka wapi ? Timu hizo za wanawke zikiwekwa ligi moja na timu za Taifa za Afrika ya Mashariki na ya kati, utashangaa wakati wa Quarter Final kutakuwa na timu hizo za wanawake tu.
Umenena vyema mkuu hizo timu za wanawake ulizozisema hasa France wakikutana na timu zetu za Africa mashariki watafungwa tu.hawa wanawake wanapiga kabumbu sio mchezo.
 
Niemangalia michezo hiyo aisee; ingawa Uganda imeshinda na vile vile Kenya inaweza kuendelea; ukiwapambanisha na wanawake niliotaja hapo juu, wote Kenya na Uganda watatupwa nje raundi ya kwanza tu.
Hawajaangalia women word cup hawa.watakupinga tu
 
Back
Top Bottom