For 1500 years .... Hakuna Jambo La Kushtua Dunia

Hakuna jipya chini ya jua mzee
 
katika hili ume waza na fikira zako zipo vyema kabisa naweza kusema kwa mtazamo wangu, maisha walio kua wakiishi watu wazamani kunatofauti kubwa sana na maisha tunayo ishi sasa, teknolojia imechukua nafasi kubwa sana tofauti na hapo zamani kiasi kwamba watu inafikia mahala tunajisahau tunashindwa kutambua who we are,,
ni wachache sana ambao wamefikia hatua ya kujielewa na ndio hao wanao weza kufanya yale ambayo tunayaita si ya kwaida kwa kuwa hatuja zoea kuya ona au kuya sikia kwa kua maisha tunaishi ni muendelezo na kufuata nyayo walizo pita watu wa kale, kamwe hutakuja kuona hayo unayo fikiria kwakua njia tuna zo pita nizile walizo pita wao na ulipo zaliwa tu unakutana nazo natayari zisha wekewa mikazo nilazima upiti humo...

ili uweze kuwa toleo jipya na toleo kubwa hapa duniani nilazima ujitambue wewe ninani na ninini ulicho nacho chakipekee na ukitumie katika jamii inayo kuzunguka, hiyo ndio hatua ya kwanza kufikia huko,,, coz every body can do miracle but haiwezi kutokea tu from no where, we must do some thing .mungu hajumba mtu mwenye mapungufu ila ni namna gani tunavo gain knowledge ndio inatupelekea kuwa hivi leo tulivo.

yaani katika hili game la kuishi hapa duniani either upo mezani au on the menu, wewe ndio unae changua.
 
Hii dunia IPO mbona mwaka 1994,katika nchi ya Rwanda walitokewa NA malaika kutoka mbinguni!
 
Siku hizi mbona kuna vitu vya ajabu,maradhi ya kutisha,Vita kila Mara duniani,
 
Tena mpaka manabii,kuna mmoja alikua anajiita mungu MTU ,kutoka Kongo pia kuna mmoja anajiita yeye ni mungu wa Tatu baada ya yesu
 
Jua tu kuwa huu ni umma wa mwisho...
 
Hivi kunambia zama hizi na zile za akina Firaun zipi zilikuwa na maasi makubwa?
 
kwa hiyo mkuu unadhani mungu kasusa,kwa kutokuonesha kwake miujiza.
 
Acheni kudanganya watu juu ya Kakobe!

Huyu alimnadi Mrema eti ndo mkombozi wa Watanzania?

Huu ndo unabii??

Acheni kupotosha watu!
 
Mtafute kwa bidii naye utamuona.

He is always there for those who seek him in truth diligently. Utakuwa unawasiliana nae kila siku na kuwashangaa ambao hawampi nafasi. Choice is yours
God Is For All... Unaposema nitakuwa naongea naye Kila Siku iweje Siku Yesu Anabatizwa Mbona SAUTI kama ilivyoandikwa Ilisikika Hata Kwa Watu Tu waliokuwa Hawana Imani

Why Isitokee Tu One Day Sauti yake Tukaisikia ili Watu Imani Iwepo hata Kwa wale Wasioamini.. Unaposema nimtafute Je Mchina Anayeabudu Sanamu atamtafytaje.... Muhindi Je...

Kwann Asijidhihirishe Ili hata Muhindi na Mchina na Buddha Wote Wakaaamini Ni Yy Pekee tu Hakuna mwingine Hata kwa Sauti Tu Jamani
 
Maajabu ya jecha. Yameshtua sana dunia mpaka misaada imeanza kuminywa. :lol: :lol: :lol:
 
Yalitokea yote hayo ili kutufunza ukuu wa Mungu na sasa yamekwisha kamilika. Kilichobaki ni ile siku ya Baragumu, siku ya mwisho au kama wanavyoita wazungu "Doom's Day" maana hilo tu ndulo tujualo halijafika na labda kama Mungu ataumba watu wengine naamini katika vitabu vyao watasoma historia yetu na kujifunza.
 
Miaka 2000 sasa hakuna muujiza unaoshtua bongo zetu!ndio hakuna na hautakuwepo Yesu alishakutana na watu waliodemand ishara na maajabu zamani za biblia zile akawaambia ''kizazi hiki kinataka ishara hakitapata ishara kubwa zaidi ya ile ya ''Yonah"ndivyo inavyokuwa hakuna ishara unataka Mkuu wa ishara na maajabu na mkuu wa uzima ajidhihirishe utaweza kusimama mbele ya moto ulao (devouring fire)au utakimbia tu kama israel pale sinai Mungu alipoiteremsha sheria yake ya Neema na upendo nakuona kama unataka iharakishwe siku ile kuu ya majilio yake(Yesu)tukio kubwa la aina yake ambalo hutahitaji CNN ikufanyie Coverage kila jicho litamuona.Una heri wewe unaengojea kufunuliwa kwake (Yesu)siku ile
Kesha Omba!mfalme wako Yuko mlangoni.
 
Majibu yako kidogo yanamantink naona Tutaenda Sawa..

Sasa Je Inakuwaje kwa Watu wasio na Imani kabisa na tunapoelekea Inainekana ni Bora mtu akawa hana imani kabisa Kuliko Kuingia Kwenye Ukristo au uislam mana Dini Hizi Mbili zimekuwa ni Kuchanganyana mtindo Mmoja

Je God Is Silent.. Asijitokeze Kwa wasio na imani kabisa.. Hata akawapa Nabii wao..E.g Chinese...Indian... Buddha etc
 
Kwa hakika hata leo Mungu anazungumza kwa watoto wake.Sina uhakika unatoka katika dhehebu gani lakini zipo testimonies kutoka kwa watu wa mashariki ya mbali wakiupokea ukristo kwa kasi ya ''alarming rate"yote hayo ni Mungu anawatafuta watu wake yeye mwenyewe huu nao ni muujiza mkubwa sana mchina leo anamkubali Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi.kiufupi Mungu anajua uwepo wa watu wasio na imani na Mungu(atheist)na ameruhusu wawepo lakini watu hao wameshawahi kuwepo enzi zote mpaka mwisho wa wakati ambapo fumbo kubwa litafumbuliwa na kila kitu kitakuwa halisi.
 
Safi .. Sasa inakuwaje Asitokee Tu Mfano Kipindi cha Kuwatoa Waisrael Misri Aliweka Mlima Wa sinai moto na wingu zito.. haikujalisha kuna Waliokuwa Wanamuamini au Laaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…