katika hili ume waza na fikira zako zipo vyema kabisa naweza kusema kwa mtazamo wangu, maisha walio kua wakiishi watu wazamani kunatofauti kubwa sana na maisha tunayo ishi sasa, teknolojia imechukua nafasi kubwa sana tofauti na hapo zamani kiasi kwamba watu inafikia mahala tunajisahau tunashindwa kutambua who we are,,
ni wachache sana ambao wamefikia hatua ya kujielewa na ndio hao wanao weza kufanya yale ambayo tunayaita si ya kwaida kwa kuwa hatuja zoea kuya ona au kuya sikia kwa kua maisha tunaishi ni muendelezo na kufuata nyayo walizo pita watu wa kale, kamwe hutakuja kuona hayo unayo fikiria kwakua njia tuna zo pita nizile walizo pita wao na ulipo zaliwa tu unakutana nazo natayari zisha wekewa mikazo nilazima upiti humo...
ili uweze kuwa toleo jipya na toleo kubwa hapa duniani nilazima ujitambue wewe ninani na ninini ulicho nacho chakipekee na ukitumie katika jamii inayo kuzunguka, hiyo ndio hatua ya kwanza kufikia huko,,, coz every body can do miracle but haiwezi kutokea tu from no where, we must do some thing .mungu hajumba mtu mwenye mapungufu ila ni namna gani tunavo gain knowledge ndio inatupelekea kuwa hivi leo tulivo.
yaani katika hili game la kuishi hapa duniani either upo mezani au on the menu, wewe ndio unae changua.