Sasa Kama ndo Hivyo Miujiza Ya Kushtua Dunia Mbona imekwama.. Hakuna Mpak sa hv.. maana kwa Maelezo ya Cyrus ni kwmb hakuna Kwa Sababu Yesu anakaribiaYap.
Kwa haraka haraka bado dunia ina safari ndefu sana maana kizazi cha 3 na 4 vimetajwa na lazma vitafikia ndo mwana wa Adam atakapokuja..
Yap.
Kwa haraka haraka bado dunia ina safari ndefu sana maana kizazi cha 3 na 4 vimetajwa na lazma vitafikia ndo mwana wa Adam atakapokuja..
tema mate chini mkuu, daahHizo hadithi za makureshi zotawapotezeni...Muhammad alikuwa mpiga dili tu
haya maandiko ya vizazi yanapatikana wp mkuu?Yap.
Kwa haraka haraka bado dunia ina safari ndefu sana maana kizazi cha 3 na 4 vimetajwa na lazma vitafikia ndo mwana wa Adam atakapokuja..
The living miracle kinachoitwa Qur'an tukufu.. Hamna maajabu zaidi ya kitabu hiki tukufuAlifanya maajabu gani?
Dah swali jepesi sana labda tukianza na maana siasa jibu ni kuwa yesu Kama kuhani mkuu siasa ilimhusu ndo maana walimsulubisha koz alijiita mfalme Wa wayahudi ingawa wale watu hawakuelewa maana halisi ya hilo neno pia ktk biblia tunasoma manabii ambao walikuwa wafalme yaani wakitawala pia rejea kipindi cha Israel kabal ya Saul mfalme Wa kwanza nchi iliongozwa na Mungu mwenyewe kupitia manabii so Mungu ni mwanzilishi Wa uongozi so usishangae viongozi Wa imani wanapoingia ktk siasa wakati FulaniJe Yesu alijishughulisha siasa za Enzi zile?
Dah swali jepesi sana labda tukianza na maana siasa jibu ni kuwa yesu Kama kuhani mkuu siasa ilimhusu ndo maana walimsulubisha koz alijiita mfalme Wa wayahudi ingawa wale watu hawakuelewa maana halisi ya hilo neno pia ktk biblia tunasoma manabii ambao walikuwa wafalme yaani wakitawala pia rejea kipindi cha Israel kabal ya Saul mfalme Wa kwanza nchi iliongozwa na Mungu mwenyewe kupitia manabii so Mungu ni mwanzilishi Wa uongozi so usishangae viongozi Wa imani wanapoingia ktk siasa wakati Fulani
mkuu hujamuona nabii tito? naskia ana kanisa lake na kusali ukiwa mtupuWhy Jamani Wachambuzi wa mambo .. Dunia Ya Zamani Ipo wapi tena..Dunia Iliyokuwa imejaa Maajabu kila baada hata ya Miaka 100 au 200 Jambo kubwa Linatokea..
Ile Dunia ya kina farao.... Dunia ya Maajabu... Dunia ya kinabii.... Dunia Ya kutokea Mitume na Wakafanya mambo Ambayo Yameleta mabadiliko mpka leo hii.. Dunia hiyo imekwenda wapi. Dunia Ya Kuwafufua watu Kiukweli ukweli na si kama maagizo ya Sasa...
Je, Mungu kakasirika kwa miaka Yote Hii... Mpka Imani Za watu zinapoteza uelekeo kabisa... Why pasitokee Jambo au Muujiza ambalo hautaleta Maswali Mengi Kwa watu .. Why Kizazi chetu nacho Kisitoe Historia itakayokuwa Kama muongozo kwa Kizazi kingine
Kwa Dunia ile ya kipindi Kile Mungu alikuwa hakai Muda mrefu Hivi Mbona! na ukimya Wote Huu... Why hata siku Moja hasi-jidhihirishe Hata kidogo kama kipindi cha Yesu akatoa Sauti Watu wakaisikia ....
Aisee alikuwa akitokewa na vibwengo siyo malaika jibril(Gabriel). Malaika huyu hawezi kutoa jumbe tofauti kwenye Biblia kivyake na Qur'an kivyake.mara nyingi alitokea na malaika mkuu jibril(aleysalam) na wakazungumza ana ana akimpa wahhi toka kwa Mungu.
Ha ha ha! Aisee.Aisee alikuwa akitokewa na vibwengo siyo malaika jibril(Gabriel). Malaika huyu hawezi kutoa jumbe tofauti kwenye Biblia kivyake na Qur'an kivyake.
Mkuu RGforeverUnaonaje Kwa watu wasiokuwa na Imani Kabisa na Yesu.. Yaani Hawamtambui kabisa.. Na hata kama Akija hawezi kuwahukumu maana Huwezi kumhukumu mtu asiyekujua wewe na Sheria Zako
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kakobe yupi mkuu , yule fremason?
[emoji15] [emoji15]Hii dunia IPO mbona mwaka 1994,katika nchi ya Rwanda walitokewa NA malaika kutoka mbinguni!
Watu wana mihemko ya dini zao jamani hadi hawaoni wala kusikia!Acheni kudanganya watu juu ya Kakobe!
Huyu alimnadi Mrema eti ndo mkombozi wa Watanzania?
Huu ndo unabii??
Acheni kupotosha watu!