For 1500 years .... Hakuna Jambo La Kushtua Dunia

For 1500 years .... Hakuna Jambo La Kushtua Dunia

Yap.
Kwa haraka haraka bado dunia ina safari ndefu sana maana kizazi cha 3 na 4 vimetajwa na lazma vitafikia ndo mwana wa Adam atakapokuja..
Sasa Kama ndo Hivyo Miujiza Ya Kushtua Dunia Mbona imekwama.. Hakuna Mpak sa hv.. maana kwa Maelezo ya Cyrus ni kwmb hakuna Kwa Sababu Yesu anakaribia
Yap.
Kwa haraka haraka bado dunia ina safari ndefu sana maana kizazi cha 3 na 4 vimetajwa na lazma vitafikia ndo mwana wa Adam atakapokuja..
 
Yap.
Kwa haraka haraka bado dunia ina safari ndefu sana maana kizazi cha 3 na 4 vimetajwa na lazma vitafikia ndo mwana wa Adam atakapokuja..
haya maandiko ya vizazi yanapatikana wp mkuu?

hopely ntakuwepo hadi hicho kizaz cha 4 mnamo mwaka 4016
 
Je Yesu alijishughulisha siasa za Enzi zile?
Dah swali jepesi sana labda tukianza na maana siasa jibu ni kuwa yesu Kama kuhani mkuu siasa ilimhusu ndo maana walimsulubisha koz alijiita mfalme Wa wayahudi ingawa wale watu hawakuelewa maana halisi ya hilo neno pia ktk biblia tunasoma manabii ambao walikuwa wafalme yaani wakitawala pia rejea kipindi cha Israel kabal ya Saul mfalme Wa kwanza nchi iliongozwa na Mungu mwenyewe kupitia manabii so Mungu ni mwanzilishi Wa uongozi so usishangae viongozi Wa imani wanapoingia ktk siasa wakati Fulani
 
UFALME wa Mungu ni nini?
 
Why Jamani Wachambuzi wa mambo .. Dunia Ya Zamani Ipo wapi tena..Dunia Iliyokuwa imejaa Maajabu kila baada hata ya Miaka 100 au 200 Jambo kubwa Linatokea..

Ile Dunia ya kina farao.... Dunia ya Maajabu... Dunia ya kinabii.... Dunia Ya kutokea Mitume na Wakafanya mambo Ambayo Yameleta mabadiliko mpka leo hii.. Dunia hiyo imekwenda wapi. Dunia Ya Kuwafufua watu Kiukweli ukweli na si kama maagizo ya Sasa...

Je, Mungu kakasirika kwa miaka Yote Hii... Mpka Imani Za watu zinapoteza uelekeo kabisa... Why pasitokee Jambo au Muujiza ambalo hautaleta Maswali Mengi Kwa watu .. Why Kizazi chetu nacho Kisitoe Historia itakayokuwa Kama muongozo kwa Kizazi kingine

Kwa Dunia ile ya kipindi Kile Mungu alikuwa hakai Muda mrefu Hivi Mbona! na ukimya Wote Huu... Why hata siku Moja hasi-jidhihirishe Hata kidogo kama kipindi cha Yesu akatoa Sauti Watu wakaisikia ....
mkuu hujamuona nabii tito? naskia ana kanisa lake na kusali ukiwa mtupu
 
mara nyingi alitokea na malaika mkuu jibril(aleysalam) na wakazungumza ana ana akimpa wahhi toka kwa Mungu.
Aisee alikuwa akitokewa na vibwengo siyo malaika jibril(Gabriel). Malaika huyu hawezi kutoa jumbe tofauti kwenye Biblia kivyake na Qur'an kivyake.
 
Jesus is coming soon.....
Unaonaje Kwa watu wasiokuwa na Imani Kabisa na Yesu.. Yaani Hawamtambui kabisa.. Na hata kama Akija hawezi kuwahukumu maana Huwezi kumhukumu mtu asiyekujua wewe na Sheria Zako
 
Unaonaje Kwa watu wasiokuwa na Imani Kabisa na Yesu.. Yaani Hawamtambui kabisa.. Na hata kama Akija hawezi kuwahukumu maana Huwezi kumhukumu mtu asiyekujua wewe na Sheria Zako
Mkuu RGforever

Hiki ni kipindi cha Rehema na Neema ya Bwana Yesu Kristo.

Imeandikwa Kila mtu atalisikia neno la Mungu, sasa yampasa huyo mtu mwenyewe "kugeuka" na kuamini.

Na hukumu hipo, na kila mwanadamu atahukumiwa.
 
Acheni kudanganya watu juu ya Kakobe!

Huyu alimnadi Mrema eti ndo mkombozi wa Watanzania?

Huu ndo unabii??

Acheni kupotosha watu!
Watu wana mihemko ya dini zao jamani hadi hawaoni wala kusikia!
 
Mbona miujiza IPO inafanywa Na akina mbonke Leonard, kakobe, mwingira, Mzee wa yesu, Mzee wa upako nabii flora? Ina maana hujapata wasikia hawa?
 
Back
Top Bottom