Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nn maana ya miujiza binafsi ili hali ni manabii wa Leo Hawa,Miujiza Si kama ya Mitume bali wanafanya Miujiza yao Binafsi
Uthibitisho ni pale mtu anapohutubu jambo Fulani la kiroho na kulichambua hakika ni sauti ya Mungu imo ndani yake. My personal experience ni Mchungani Zachary Kakobe of FGBF chunguza nakuruhusu take your time for sometimes anapatikana pale Mwenge karibu na mlimani city chunguza mafundisho yake kanisa linaitwa FGBF au maarufu kwa kakobe Fanya uchunguzi kuna siku utakuja prove.
Kiufupi saut ya Mungu ina gharama sana mpaka iwe dhahiri kwako rejea kwa nabii Samweli na Mzee Eli.
Ili saut ya Mungu ina gharama sana ndugu yangu experience ya huyo mchungaji (above) naijua na jinsi alivyopitia hadi hapo alipo mpaka hiyo sauti ya Mungu kuwa dhahiri naona mpaka hapa kuna mwanga utakuwa uneupata kidogo
Zaman Alikuwa Anawatokea tu hata Watu wasiokuwa na Imani kabisa.... Na Wapagani
Soma maandiko vizuri.Yesu alishasema nyakati za ishara na miujiza zimeshapita wakati wake.Ishara na miujiza ilikuwa ni njiia mojawapo ya kutuonyesha uwepo wake na ukuu wake.Darasa la kwanza au chekechea ulijifunza kwa kuhesabu vijiti je baada ya kujua kuhesabu bado uliendelea kuvihitaji katika kujielemisha kwako?Why Jamani Wachambuzi wa mambo .. Dunia Ya Zamani Ipo wapi tena..Dunia Iliyokuwa imejaa Maajabu kila baada hata ya Miaka 100 au 200 Jambo kubwa Linatokea..
Ile Dunia ya kina farao.... Dunia ya Maajabu... Dunia ya kinabii.... Dunia Ya kutokea Mitume na Wakafanya mambo Ambayo Yameleta mabadiliko mpka leo hii.. Dunia hiyo imekwenda wapi. Dunia Ya Kuwafufua watu Kiukweli ukweli na si kama maagizo ya Sasa...
Je, Mungu kakasirika kwa miaka Yote Hii... Mpka Imani Za watu zinapoteza uelekeo kabisa... Why pasitokee Jambo au Muujiza ambalo hautaleta Maswali Mengi Kwa watu .. Why Kizazi chetu nacho Kisitoe Historia itakayokuwa Kama muongozo kwa Kizazi kingine
Kwa Dunia ile ya kipindi Kile Mungu alikuwa hakai Muda mrefu Hivi Mbona! na ukimya Wote Huu... Why hata siku Moja hasi-jidhihirishe Hata kidogo kama kipindi cha Yesu akatoa Sauti Watu wakaisikia ....
-kutokana na maelezo yako inaelekea una base sana kwenye mono-religion na si poly-religion theology kama ungekuwa unasoma dini zaidi ya moja ungeelewa ni kwa 7babu gani haitokei tena kama zamani kwa hiyo kama utaendea kukaa na uelewa wako wa dini moja hautaelewa ni kwa nn haitokei tena cha msingi ni kuitafuta elimu na kuielewa basi...sijakukosoa ni challenge ndogo ndogo 2Why Jamani Wachambuzi wa mambo .. Dunia Ya Zamani Ipo wapi tena..Dunia Iliyokuwa imejaa Maajabu kila baada hata ya Miaka 100 au 200 Jambo kubwa Linatokea..