For genius only, with high IQ.

For genius only, with high IQ.

A'm a Zero Iq but not a Zero brain hiyo colour ni .................!

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Sawa boss!
Ila jaribu kulisoma tena swali ulielewe vizuri!
Swali linasema, Je unaweza kuorodhesha majina ya rangi ambayo hayana "E" , ndio nikaorodhesha hiyo rangi kwa lugha ya kikwetu.

Lakini usijali, hii yote katika kuelimishana
 
Back
Top Bottom