Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameweka IQ za watu humu chini sana!Hii ni quiz au??
Black is black beauty?[emoji20]Black is not a colour
No, I can not?
Sawa boss!Chanikiwiti ni rangi mojawapo kwa kiswahili, najua wengi webu hamulijui hili, kwa msaada ingia hiyo link
chanikiwiti | Ufafanuzi katika Kiswahili - Oxford Living Dictionaries
Swali linasema, Je unaweza kuorodhesha majina ya rangi ambayo hayana "E" , ndio nikaorodhesha hiyo rangi kwa lugha ya kikwetu.Sawa boss!
Ila jaribu kulisoma tena swali ulielewe vizuri!