Ndo maana nawashaurigi watu, do not waist time because time is not waiting for you. Mwenzio akimwaga ugali wewe mwaga mchuzi mambo mengine mbele kwa mbele. Kwa nini mtu usijipe raha na mda wenyewe tuliopewa na Mwenyezi Mungu ni limited.
ndoa hizi! mie hiyo ctuation niliipitia kwa sana, kuna wakati mtu unatakiwa upunguze/uache kulalama, mana kama ameamua kufanya hivyo ni atafanya tu mpaka atakapojichokea atatulia mwenyewe, hata mie niliwahi kuuliza/kuhoji sana kuhusu tabia hii kwa mr , nikaona hajali kwa wakati huo, ilifika wakati cmuulizi lolote amerudi/hajarudi sihoji, na mie nikitaka kutoka natoka bila kutaarifu lolote, alikuja aka2lia mwenyewe na ndipo 2lipoenda sawa na hajarudia tena!
Hapo umeongea!
Aaa wapi mimi nipo tayari ndani...tena kwa msimamo kwelikweli, shemeji yenu akileta za kuleta i deal with him parpendicular.hehehe aliniambia Masa na wewe bado unasubili ni kweli Penny?
Mi mbona Mwana unaufahamu msimamo wangu tokea longtime mi navuluga mtu wallah na anafungasha vilago na anabeba mfuko wa rambo.
Tatizo la shemeji yako amepata pesa ukubwani si unajua "maskini akipata ****** hulia mbwata"
Aaa wapi mimi nipo tayari ndani...tena kwa msimamo kwelikweli, shemeji yenu akileta za kuleta i deal with him parpendicular.
Na kweli!
Mh Keizer sikujua kama wewe nawe u guru katika masuala ya mahusiano! Aksante sana yani hapa umenifumbua akili wajua sikuwahi kufikiria kama majirani wanaweza kuhisi ndivyo sivyo! Na vile dada yangu wanaishi nyumba za kupanga basi akirudi muda wowote lazima majirani watasikia tu!! Ah kama ni aibu basi keshajiaibisha. Tabia hii shemeji kaianza baada ya mambo yake kuwa safi, now amenunua kibaloon basi kero anarudi muda atakao tena akiwa njwiii! Dada anatamani hata kutoboa matairi siku moja!
And i will be waiting!.....
wow..nadhani sisi tutang'atana vizuri tu, mdogo wako Kelly apo juu anataka kunipeleka sipo kabisa LOL....ntakuja bila hodi usifunge mlango hahahahaha😎Nami pia ntakuita chumbani !!😕
Wote wanamatatizo kiujumla , kwanza kabla ya kuoana mnasomana na mnaridhiana kwamba niko tayari kwa haya . Kwa maana nyingine unakuwa unafahamu mapungufu yake vinginevyo umeuvaa mkenge. Msaada sasa kwako wewe utesekaye mwambie waziwazi kuwa sio sawa na mwisho wake ni off. Wewe unayekerwa na shem mtokee mweleze kuwa siyo mambo lakini uwe makini kwani walikubaliana kuishi kwa shida na raha . Na hizo ni sehemu ya shida zenyewe anazotakiwa kuvumilia si umenisoma vinginevyo angesema niko tayari kwa raha tuu jamaa angeahirisha wongo??? Utaniambia
ah
hehehehe akija kutulia unamvalisha nepi kazi kweli kweli...ila wivu ni mzuri au mbaya?
wivu uwe na kiac utakuwa wa kawaida, yani uclete madhara.
wivu uwe na kiac utakuwa wa kawaida, yani uclete madhara.
Tatizo lenu iwa mnakuwa na wivu mpaka unapitiliza maelezo
hahahaha ndo maana mi nawaambieni mi bado nipo nipo kwanza hizi presha bana siziwezi kabisa naweza ua mtu bure
hahaha mkuu vipi tunduma wameacha mapigano na 'gesh la poris'?
utakuja kuijgia tu bila wewe mwenyewe kujijua....lol
Dada hapa nimekupata kabisa dada and I salute you for that but inawezekana Mr wako hakuwa anakufuatilia kama shem wangu!. Shem huyu kufanya afanye yeye, akifanya dada ugomvi yaani dada hata atoke kwenda hapo dukani umbali wa dk 5 atasemwa hajaaga na maneno chungu mbovu kuwa ana vidume sipati picha angefanya kama wewe ulivyokuwa unafanya si atazua balaa?
Lakini nafikiri ni njia nzuri ya kumrekebisha ngoja ntaipropose kwa sisy nisikie atachosema.
Tatizo lenu iwa mnakuwa na wivu mpaka unapitiliza maelezo