Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Ndo maana nawashaurigi watu, do not waist time because time is not waiting for you. Mwenzio akimwaga ugali wewe mwaga mchuzi mambo mengine mbele kwa mbele. Kwa nini mtu usijipe raha na mda wenyewe tuliopewa na Mwenyezi Mungu ni limited.
Tatizo hapa mama wanawake wanapenda mno kuliko wanaume na wanawake wana wivu mno tena sana ndo maana wanaumia moyoni kitu kidogo jamaa karudi kachoka inakuwa taabu. Kikubwa hapa ni wivu tu.