MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #101
LOL usijali ninayemfahamu ni wahapa jamvini (socially constructed) ndo nikamwekea hizo standards, na hilo la tabia mbaya nilikuwa na maana anaeza kukutongoza, sasa nimesikia eti na hapa kuna watoto wanachunguliaga ndo nikajaribu kweka 'tafsida'...lakini naona umenipataπ
Nimecheka sana hapo pa red shost ah hutaki mchezo! Ila weye una bahati mwenzangu maana sisy yeye alichemka kwani mzee ikifika mwisho wa mwezi tu anasitisha huduma (kama ndo alikuwa anakupa nauli mtoto uende shule, ananunua sabuni e.t.c) anasizi kwanza mpaka ahakikishe ya dada imetumika kucover hizo basic things na zimekwisha ndo anaanza kuhudumia tena kwa kipimo ati!!
So hapo hakuna cha zangu ni zangu zake zetu!
unajua mami ukimzoesha kuanzia cku ya kwanza mambo yataenda hivyo tu, mie kweli huduma ndio zinamuhusu tena ctaki oohh walaa haaa, mengine afanye lakini hilo aahh! fees, mavazi etc.....unajua sis alimzembea kuanzia mwanzoni sasa chochote atakachofanya kwasasa mr ataona kama anadharauliwa/kuna mtu anampa kiburi...
.... ndio mana mie pesa zangu ni zangu zake ni zetu.....lol
Mnapo kuwa mnaolewa iwa mnakuwa wanyenyekevu sana ukisha zoea ndoa yako unabadilika unaanza kudai hata yale ambayo mwanzoni ulikuwa hudai.
Lol mkiambiwa mnawachuna waume zenu mnakataa angalia sasa hapo hapo unamchuna mmeo pesa za vocha,mafuta n.k hapo hapo mshahara wako ni wako peke yako duh mimi sioi kwa mtindo huu ngoja niendelee kusubili naweza piga mtu.
bora mie nachuna kwa kumuendelezea familia yake kuliko huko anakochunwa kwa starehe ya mara 1,2.....halafu cmchuni,kwangu mie naona kama ni wajibu wake...c ndo kichwa cha familia?...lol
mie niliingia kama mie, alinijua vizuri! ckuwahi ku pretend, yanaongezeka na familia ikiongezeka.
Duh kwa hiyo siku zinavyo zidi kwenda ndo unaonyesha makucha yako? Unalinga kwa vile upo ndani ya ndoa...wewe unakaribisha nyumba ndogo au uke wenza hivi hivi na hii ndo dawa kwa mwanamke anae linga unasogeza nyumba ndogo tu.
cjawahi na ctawahi kuringia ndoa, sio suala la kuonyesha makucha na we nielewe uko! namaainisha kwamba cjawahi kubadilika kwake, anaujua mcmamo wangu vizuri kabisa, mambo ya ndani yaende sawa ndio afanye mambo yake mengine, na anajua nipo makini kwa hilo....futa huo usemi wako wa kuringia ndoa....
Kwa hiyo kama kichwa cha familia ndo umnyonye? Basi kama vp kaa nyumbani uwe unapika na kupakua wewe mshahara wako uwe unajengea kwenu wa kwangu tule wote huu ni uchunaji.
cmnyonyi, ndio wajibu wake ku2nza familia, wanae na mkewe! kuna mambo fulani fulani naweza kumsaidia pale panapostaili na icwe ndio kila wakati, huko nje mbona hamsemi mnanyonywa?.....yaani haina mjadala.
hehehe nimefuta kauli sasa unaifrahia ndoa hahaha haya Nyamayao
cjawahi na ctawahi kuringia ndoa, sio suala la kuonyesha makucha na we nielewe uko! namaainisha kwamba cjawahi kubadilika kwake, anaujua mcmamo wangu vizuri kabisa, mambo ya ndani yaende sawa ndio afanye mambo yake mengine, na anajua nipo makini kwa hilo....futa huo usemi wako wa kuringia ndoa....
hehehe nimefuta kauli sasa unaifrahia ndoa hahaha haya Nyamayao
haaa unazidi kubadilika, iilikuwa kuringia....
Nimekupata ndugu yangu.
Phweeee afadhali maana nilijua ohooooo ndo nshajichoresha kumbe kuna mtu anayenijua behing the screen dah almanusra nikose usingizi kwa kuwaza.
Thanx palπ
asipoangalia nyumba nyingine ndogo huwa hazihitaji matumizi dogo si unajua?
hahah Dogo unaogopa kutolewa nje ya bunge? huyu hawezi kukutoa bana...ulichosema nakuunga mkono kabisa...kama akimbana 'ki hivyo' anakaribisha nyumba ndogo tu...na asipoangalia nyumba nyingine ndogo huwa hazihitaji matumizi dogo si unajua?
ncendelee na huu mjadala nitaongea yacyostahili kuongelewa hapa....
Tatizo la Nyamayao mbishi sana....nimeshuhudia nyumba ndogo inamlea baba na familia yake wewe acha bana kupenda kubaya dingi kahamia kabisa kwa nyumba ndogo inamlea kwa kila kitu mpaka inamwachia usafiri.