For JamiiForums Mobile users

For JamiiForums Mobile users

Einstein-formal-portrait-35.jpg
 
Asee naona mmeanza WIZI wa wazi wazi eeh? And hebu angalieni hili jambo.

Huyu mtoto amejaribu kutumia avatar yangu kwake.
 
Last edited:
Admin angalieni hawa wezi wa picha za watu humu ni hatari sana.
 
Last edited:
Hivi thread hii na ile ya malalamiko inatofauti?......
Anyway mimi Avatar ya @Yo Yo ilitaka kunisababishia hasara ya Laptop yangu maana baada ya kutandika viroba vya kutosha niliipoingia JF nikaona kuna kamdudu kanazunguka kwenye screen yangu kila nikikachapa hakifi! kumbe Yo Yo huyo!!....
 
Back
Top Bottom