Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
now I can bold a phrase with color. thank you @SNAP J[size]let me try to bold[/size]
na ku-underline naweza etiUmetisha!!
😀😀
na ku-underline naweza eti
Pamoja mkuu😉😉
asante sanaPamoja mkuu😉😉
Mimi nataka kujuzwa jinsi gani inatokea ile this message was deleted by kunguni wa ulaya.
Mkuu KIOO Mimi natumia jf app kwenye simu.hiyo option siioni.Ukienda kwenye hii msg yako kama unataka ku-edit, kuna sehem pameandikwa "Delete". Click hapo utakuwa umeifuta hii msg yako.
Sasa ukipitia hiyo thread ndio utaona kuwa pameandikwa hivyo ulivyotaka paandikwe kama hivi mkuu...
"This message sjui ni was sjui has been deleted by @kunguni wa ulaya".
That's That.
$x^2$