Samahani:COLOR=EE82EEKumbe nilivyoshindwa mwanzo ilikuwa ni ukilaza tu
Nilijua kwangu tu.Mods please naombeni mnisaidie, Natumia Jf mobile app na ni karibu week ya pili sasa sipati notifications kabisa, Nimejaribu kufuta app na kuidownlod tena lakini wapi, Hata niki-refresh bado naona ime-freeze kabisa....Please naombeni mnisaidie kutatua tatizo @mods jamiiforum
Jaribu Tena![\hi]