For JamiiForums Mobile users

For JamiiForums Mobile users

Jf raha Sana hata ukiandika upuuzi leo miaka kumi ijayo ukiingia ndo utakaa ujiulize nilikua nawaza nini [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu! Original Samsung galaxy A32 ilio kwenye hali nzuri iko sokoni. Nimeitumia kwa miezi sita tu na haina tatizo lolote. 500k tu! Msimbazi ndo napatikana.
 
Mods please naombeni mnisaidie, Natumia Jf mobile app na ni karibu week ya pili sasa sipati notifications kabisa, Nimejaribu kufuta app na kuidownlod tena lakini wapi, Hata niki-refresh bado naona ime-freeze kabisa....Please naombeni mnisaidie kutatua tatizo @mods jamiiforum
 
Nilijua kwangu tu.
 
Nilichogundua ni kwamba wamebadili muonekano wa app kiujumla ndo sababu, kwa hii ya sasa napata notifications kama kawaida
 
Back
Top Bottom