For JamiiForums Mobile users

Aah nahamia mapenzin kulee..huku leo mechemka
 
?[ /color]
 
Shida yote ya nn,kwan nisipoweka rangi maandishi hayasomeki.

hata na mimi nashangaa ndugu yangu! Kwanza mimi kuweka hizo code kichwani ni ngumu sana kutokana na urahisi na maisha bora niliyo nayo kwa familia yangu je? Code hizo nitazihifadhi kichwani kweli?
 
Nilidhani mie peke yangu ndo nna kichwa cha kichina Huu uzi umenifariji. Shukrani kwa RGforever na wote waliochangia ktk kutufundisha hapa. Pole kwa walimu wote. Kweli kufundisha ni kazi ngumu.
 
Last edited by a moderator:
hata na mimi nashangaa ndugu yangu! Kwanza mimi kuweka hizo code kichwani ni ngumu sana kutokana na urahisi na maisha bora niliyo nayo kwa familia yangu je? Code hizo nitazihifadhi kichwani kweli?

Unaweza mkuu mbona mie naweza..!
 
jana nimepewa semina elekez hadi nikaweza,tena haikua na posho kabisaaaa,hongera kwa mtoa uzi,hongera kwa king
 
hata na mimi nashangaa ndugu yangu! Kwanza mimi kuweka hizo code kichwani ni ngumu sana kutokana na urahisi na maisha bora niliyo nayo kwa familia yangu je? Code hizo nitazihifadhi kichwani kweli?

fanya hivi[color=jina la rangi]andika maneno unayoyataka bila kuacha space[/color]
 
jana nimepewa semina elekez hadi nikaweza,tena haikua na posho kabisaaaa,hongera kwa mtoa uzi,hongera kwa king

Nawashangaa sana wasioweza hii kitu, au hii semina elekezi hadi iwe na posho ndo wataweza.
Salama lakini Bajabiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…