Swts
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,062
- 1,294
khaa watu wagumu kuelewa
yan dah ngoja niendelee kuchek upepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
khaa watu wagumu kuelewa
sio kilaza tu, bali pia ni kiazi.
kama hv?kazi kweli kweli.
kupata rangi tofauti tofauti wekeni code hizi mbele ya alama ya sawa sawa. Au jina la rangi
#000000 black
#ffffff white
#ff0000 red
#008000 green
#0000ff blue
#ffff00 yellow
#808080 gray
#800080 purple
#00ff00 lime
#00ffff aqua
#ff00ff fuchsia
#800000 maroon
#000080 navy
#808000 olive
#c0c0c0 silver
#008080 teal
#ee82ee violet
?[ /color]
Shida yote ya nn,kwan nisipoweka rangi maandishi hayasomeki.
hata na mimi nashangaa ndugu yangu! Kwanza mimi kuweka hizo code kichwani ni ngumu sana kutokana na urahisi na maisha bora niliyo nayo kwa familia yangu je? Code hizo nitazihifadhi kichwani kweli?
hata na mimi nashangaa ndugu yangu! Kwanza mimi kuweka hizo code kichwani ni ngumu sana kutokana na urahisi na maisha bora niliyo nayo kwa familia yangu je? Code hizo nitazihifadhi kichwani kweli?
jana nimepewa semina elekez hadi nikaweza,tena haikua na posho kabisaaaa,hongera kwa mtoa uzi,hongera kwa king
nami nilikua nasema siwez siwezi,,,jana hiyoUnaweza mkuu mbona mie naweza..!