For JamiiForums Mobile users

For JamiiForums Mobile users

Jaman mi mbona nikitaka ku PM mtu inakataa..., then hata kuangalia Baadh ya sms walizonitumia hazifunguki yaani zinaload tuu
 
Code za nini mbona hizo features tunazipata bila kukumbuka code zote hizo?

Highlight, bofya B juu huko una bold, yanini taabu na raha zipo?
kama kuna maujanja mengine lete tujifunze
 
Back
Top Bottom